Aisha kigoda amezima

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Naibu waziri wa Afya Aisha kigoda amezima minongono ya muda mrefu ,baada ya kuamua kuweka wazi Bungeni kuwa waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano mhe Seif khatib ndiye barafu wa moyo wake

Huwa najiuliza haya mahusiano ya ndani kati ya wabunge na mawaziri kama yana uhusiano wowote na utawala bora , RUSHWA PAMOJA NA MAOVU MENGINE YANAYOENDELEA NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO
 
Inamaana hawa wote walikuwa single kiasi kwamba wanafungua ukurasa mpya?Au ndiyo ile habari ya ndoo na kidumu/mafiga matatu!?
Unajua siamini,lakini ngoja nitawatafuta kwa muda wangu ili nipate kujua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom