simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Usitutishe!
Sijawahi Kuwa Mwanafunzi Wa KiswahiliNilichogundua unahitaji kujifunza kuandika halafu uje na tamthilia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema jifunze kuandika,angalia story yako kila neno unaanza na herufu kubwa, hili linachangiwa na pia na setting ya simu yakoSijawahi Kuwa Mwanafunzi Wa Kiswahili
OkNimesema jifunze kuandika,angalia story yako kila neno unaanza na herufu kubwa, hili linachangiwa na pia na setting ya simu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu,wao wamekazana kusema chai TU wakati hawajui ya huko.Waende wajionee mtu anavyokufa huku mnamuona.Wengi hawajui, waje iringa tuwazike, kila kitu wao wanadhani ni utani tu.
mimi nipo huku niambie sehem gani nifanye utafiti usio rasmiHuo Ndiyo Ukweli, Ukitaka Ushahidi Uliza Watu Wa Mufindi, Wengi Wamelisikia Hili.
Omba lisikukute, wewe umekamilikaHapo ulivyozinduka tu wangekuuliza tukurudishe taratibu ziendelee au uende chumbani mwenye mke akulipue kimoja mdomoni n kimoja 0714 kwa siri ili kutegua tego ndo ungeacha kabisa hiyo tabia ,,,,,na ukijifanya kukataa unarudishwa ktk hali hiyo halafu ndo unafir** then unaachiwa.
Omba lisikukute, wewe umekamilika