Aiseeeeeeeeeeee

Aiseeeeeeeeeeee

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Bint:: Hallo mpenzi, mambo!
Jamaa:: Poa baby!.
Bint:: Uko wapi?
Jamaa: Mimi niko town napata lunch.
Bint:: Wow! Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear,
nataka
uniletee msosi.
Jamaa:: Narudi baada ya nusu saa, Nikuletee
nini?
Bint:: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne
yakaangwe
pembeni, baga, piza ya samaki waweke
mayonaize, coka
take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile
bekari ya
Wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya
Kilimanjaro.
Jamaa: Umesahau viti, meza, leseni, masufuria,
sahani na
vijiko.
Bint::Kwa nini dear?
Jamaa::Naona hutaki kula,unataka kufungua
hoteli??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom