Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Ulivyomwambia umepata girl mwingine maumivu yake ni sawa tu na wewe ulivyomwona akitoka guest, wewe ndio umelikoroga na yeye ametumia haki yake ya msingi kugegedwa na mwingine baada ya wewe kumwambia umepata mwingine. Hapo ni ngoma draw aka aliuza dhahabu feki na yeye kapewa fedha bandia
 
Inabidi upate dedication ya wimbo wa Khadija wa Maumivu niache ila siku nyingine usitishie nyau maana kuna wengine ukitishia anasepa kweli, nadhani ulizoea kubembelezwa si unajua wanawake wengine hurudi kuanza kubembeleza wengine husepa ukileta za kuleta kuna mtu mwingine yupo kwenye waiting option ukivurunda tu unashangaa jamaa anapewa mzigo baada ya kupigwa kalenda mwaka mzima kumbe alikuwa analinda heshima kwa kuwa yupo na wewe
 
Yan hata mm ninashangaa mkuu,yan ndani ya siku 2 tayari keshampata mwingine!!?Haiwezekani lazima walikuwa wanajuana
pole bro. mshukuru sana Mungu amekuepusha na balsa mwanamke Wa hi yo ni shetani. au alianza zamani na huyo mshikaji. na kama hajaanza zamani Naye basi huyo ni Malaya. huwezi badilisha wapenzi within 3 days na ukaanza mapenzi naye . hongera
 
Duh ila hata kama mimi ndio chanzo but haiwezekan ndani ya cku mbili tayari kshapata mwingine na mpaka kufikia hatua yakwenda guest
 
Duh!Hilo nalo neno huenda.
 
Kama wataka mapenzi,kutendwa jua kupo,kutendwa kunaumiza,waweza kujiua,kama hutaki kutendwa,naomba usipende,usijeleta lawama,nimeshakwambia * 2
 

Sio kwamba siku mbili ameshapata mbadala wako,ila huo mbadala(niseme mibadala,maana wanakuaga nao wengi)wako uliemuona nae alikwepo kabla ya wewe kumtema kwa utani sema tu alikuwa anakuficha.mwanamke mama'ako tu wengine wote pasua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…