Aisee Siamini kama Swahiba Wangu ndo Ameamua Kuoa Mchumba kutoka Badoo.

Cha muhimu uaminifu na upendo wa kweli tu. Haijalishi mmekutana wapi, unaweza mkuta church na kumbe anachakatwa na watu ovyo ovyo km kawaida. Wengine wanaingiaga tu sehemu Ili kujua nini kinaendelea..... Ila kule Badoo........ acha tu nisiseme mengi mie
 
Tafuta nyuzi za badoo kwenye search pale unaeka key word . zipo sio nyingi sana kuna huo una comments nyingi kuliko zote nadhani utakuwa wa member anaitwa juvenile wameweka hadi screen shots halafu baadaye urudi hapa uniambie umepata jibu gani
 
tupia link mkuu tuone
 
Umeanza Mwaka kwa kuingilia Maisha ya watu! Mpaka kufika December utakuwa kwenye hali gani sijui.
Anaeolewa Wewe unamjua sana?
Rafiki yako yeye ni msafi sana?

Nani uliwahi kumchagulia Mke na wapo kwenye Ndoa Muda gani sasa?
 
Cha muhimu uaminifu na upendo wa kweli tu. Haijalishi mmekutana wapi, unaweza mkuta church na kumbe anachakatwa na watu ovyo ovyo km kawaida. Wengine wanaingiaga tu sehemu Ili kujua nini kinaendelea..... Ila kule Badoo........ acha tu nisiseme mengi mie
Umeona nini
 
Mi niliijua kipind Niko first year moro pale nilipata uraibu kwakweli nilikuwa natenga boom kwa ajili ya papuchi za huko

Halafu mademu wa badoo wako desperate ukigonga sana huyo huyo mfano umenunua atataka baadae muwe wapenzi
kule wengi wanatafuta watu wa kuwagonga ukiingia usianze longo longo kutongoza kwa kuzunguka sana. wewe nenda direct omba mzigo wapo kwa ajili ya kutoa mzigo
 
da mkuu umeongea point sana labda jamaa alizunguka sana akataka urafiki
 
Kwahiyo wanawake tuu walio badoo ndo malaya ila hao wanaume walio badoo ni malaika eee
 
Tafuta nyuzi za badoo kwenye search pale unaeka key word . zipo sio nyingi sana kuna huo una comments nyingi kuliko zote nadhani utakuwa wa member anaitwa juvenile wameweka hadi screen shots halafu baadaye urudi hapa uniambie umepata jibu gani

Sawa
 
Da ebana eee sio poa mkuu, nimepitia aisee ila sa sijui jamaa namsaidiaje asee
Waache waoane.
Ukizidi kumpinga jamaa asimuoe unaweza onekana we ndio mchawi.
Uzuri umemshauri kidogo likitokea la kutokea utamkumbusha tu kuwa nilikuambia, ingawa muombee rafiki yako ndoa idumu yawezekana demu sio malaya kweli.
 
da mkuu umeongea point sana labda jamaa alizunguka sana akataka urafiki
inawezekana alianza kwa kuzunguka ooh nina crown nafanya kazi sijui TRA nk hapo unang'ang'aniwa na kahaba mpaka kutangaza ndoa
 
Waache waoane.
Ukizidi kumpinga jamaa asimuoe unaweza onekana we ndio mchawi.
Uzuri umemshauri kidogo likitokea la kutokea utamkumbusha tu kuwa nilikuambia, ingawa muombee rafiki yako ndoa idumu yawezekana demu sio malaya kweli.
aisee ushauri mzuri ssna mkuu, kila la kheri ikawe juu yake.
 
Back
Top Bottom