Aisee papaangu..... tumwokoe Joisi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aisee papaangu..... tumwokoe Joisi!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 6, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  View attachment 64105
  Jamani washagga , tumwokoe huyu binti mzuri aiseee!
  Kiruu!!!...... anataka kujiru...?
  Kujirusha kweli!
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Aisee....!Mrema na Mremi,
  Massawe na Masao,
  Moshi, Mosha, Mushi na Mwasha,
  Kimaro na Kimario....Yaaaani...yaaaani..........mnamuacha Manka au Joisi ajirushe?

  Kiruu....siwaelewi!
   
 3. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Kinukamori waterfalls hiyo........... Marangu, i really love this place
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hivi hii si ni sanamu ilijengwa baada ya binti kujirusha mtoni i.e kujiua? Nafikiri alipata ujauzito bila ndoa na kwa pande hizo it was a crime, those years? Hebu tukumbushane!!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  heee kumbe bongo hiyo..
   
 6. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hili sanamu lako hili!!!!
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ilikuwa mimba ya mzee Horombo wa kule Mashati, Rombo.
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mboro na mboya nkiki hamsikyii njoni basi tumuokoe jamani au mnasubiria mbeje kwenye msiba.
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndo ivo mkuu
   
 10. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Huu ukoo haupo tena kule Moshi, walishabadili jina baada ya kuona kiswahili kina leta utata na jina lao. So no more Mb..r. clan kwenye pande za kule.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  baada ya kubadili ndio wanaitwa mboya.
   
 12. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha !
  Nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu alikuwa anaitwa Mboro Sululu.
  Mwalimu mgeni wa kike akifikiri tuna mtania vibaya na karibu tupewe adhabu, mpaka alipocheki vyeti vyake.
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kibantu samtaimz utata mpogoro ameshawahi kukwambia anakupenda?kama hajawahi hebu muulize wao kupenda wanaitaje.
   
 14. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yuko mmoja nafanya nae kazi.
   
Loading...