Aisee ni kamaaa

Aisee ni kamaaa

msomi kweli

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
31
Reaction score
20
Unajua vijana wa kitanzania watundu sana... hebu wasikie hawa.

Kama umezaliwa nyota yako ya mbwa, basi usishangae kuwa mlinzi mpaka kufa kwako.
Kushupalia vitu usivyovijua, ni sawa na kuingiza vocha kwenye simu bila ya kuikwangua.
Enyi kizazi cha maandamano,jiepusheni na misafara ya ajabu kama ya Alan quaterman na kizazi cha wajivuni..

Mimi nawaoana ona tu na kuwasikia hawa vijana nyinyi wenzangu mmewaelewaje hawa
 
Uwe unakula kwanza kabla ya kutupiamo valuer na kulipua cha Arusha
 
Lini mara ya mwisho kucheki injini yako ya kufikiria na kuamua na kutenda. Usikute oil imeisha kwenye medula yako au au betirii zako zimeisha chaji. Hembu watafute mafundi mapema usije ukawa kama Nepi Naunye. Kalagabaho
 
Unajua vijana wa kitanzania watundu sana... hebu wasikie hawa.

Kama umezaliwa nyota yako ya mbwa, basi usishangae kuwa mlinzi mpaka kufa kwako.
Kushupalia vitu usivyovijua, ni sawa na kuingiza vocha kwenye simu bila ya kuikwangua.
Enyi kizazi cha maandamano,jiepusheni na misafara ya ajabu kama ya Alan quaterman na kizazi cha wajivuni..

Mimi nawaoana ona tu na kuwasikia hawa vijana nyinyi wenzangu mmewaelewaje hawa

nawaelewa sana
 
Back
Top Bottom