Aisee! Ndugu wengi wa kike ni shida

Aisee! Ndugu wengi wa kike ni shida

ndo hao wanaoana mabinamu?
Kikubwa angalia, je ni halali na kama ni halali sawa. kuowana kwa mabinamu dini imeruhusu. lakin kumgegeda dada yako hiyo ni dhambi, awe dada tumbo moja au binamu haiona tofauti. pia tukumbuke kuishi na mwanamke yeyote pasipo na kumuowa ni dhami kubwa(UZIZI). dhambi unayofanya inategemea namna utakavyo zungumzia mbele ya jamii. haswa swala la kuishi na mwanamke pasipo na kumuowa katika jamii yetu imekua suala la kawaida sawa. UZIZI NI UZIZI TU TOFAUTI NI HUYU DADA HUYU DEMA HUYU KIMADA nakadhalika.
 
Kuna hii hali inanikutaga, yaani utakuta ndugu zangu wa kike upande wa baba na upande wa mama wanajirahisisha sana kwangu ili nifanye nao ngono. Dah! Hawa wadada wakishajua wewe mwanaume ni ndugu yao, ndugu wengi wa kike hawana ile ya kusema huyu ni ndugu yangu wa kiume, wataishia kuweka mitego ya kingono ilimradi mwanaume ule mzigo.

Tena hawa ndugu wa kike wanaleta ukaribu na mazoea yaliyopitiliza, mwanaume unapotezea hayo mazoea bcoz unajua huyu ni ndugu yangu wa kike, kumbe mdada mwenyewe kakutamani kingono ilihali ni nduguyo, sasa hapo mwanaume usipokua makini unajikuta umegegeda ukoo mzima upande wa mama na wa baba.

Mimi binafsi nina ndugu wa kike kama watatu hivi ambao walinitega, mmoja nligegeda wengine wawili nliepuka mitego yao hapo bado wale ambao sijakaa nao karibu niwajue tabia zao vizuri.

Hata kuna baadhi ya washkaji zangu walikiri hii hali kuwatokea, walidai wanategwa sana kingono na ndugu zao wa kike, wadada embu jaribuni kuheshimu ndugu zenu wa kiume, dooh

Waliokutana na visanga vya aina hiyo toka kwa ndugu zao wa kike njooni mtoe experience..
Mkuu wewe ni Muhaya, Mnyambo, Msubi, Mwangaza? Kwani makabila ya huko Kagera hizi ni zao, wao mtoto wa mjomba, kaka, dada, binamu ni mtombo tu, hasara baadaye.
 
Back
Top Bottom