Tupe ushuhuda basNilitaka nije nitoe ushuhuda jinsi tunavyowatesa kaka zetu kumbe unazungumzia shida hiyo, kwa heri [emoji119]
We watafune tu maana hakuna namnaKuna hii hali inanikutaga, yaani utakuta ndugu zangu wa kike upande wa baba na upande wa mama wanajirahisisha sana kwangu ili nifanye nao ngono. Dah! Hawa wadada wakishajua wewe mwanaume ni ndugu yao, ndugu wengi wa kike hawana ile ya kusema huyu ni ndugu yangu wa kiume, wataishia kuweka mitego ya kingono ilimradi mwanaume ule mzigo.
Tena hawa ndugu wa kike wanaleta ukaribu na mazoea yaliyopitiliza, mwanaume unapotezea hayo mazoea bcoz unajua huyu ni ndugu yangu wa kike, kumbe mdada mwenyewe kakutamani kingono ilihali ni nduguyo, sasa hapo mwanaume usipokua makini unajikuta umegegeda ukoo mzima upande wa mama na wa baba.
Mimi binafsi nina ndugu wa kike kama watatu hivi ambao walinitega, mmoja nligegeda wengine wawili nliepuka mitego yao hapo bado wale ambao sijakaa nao karibu niwajue tabia zao vizuri.
Hata kuna baadhi ya washkaji zangu walikiri hii hali kuwatokea, walidai wanategwa sana kingono na ndugu zao wa kike, wadada embu jaribuni kuheshimu ndugu zenu wa kiume, dooh
Waliokutana na visanga vya aina hiyo toka kwa ndugu zao wa kike njooni mtoe experience..
Bro! Your totally wrong!
Wadada wapo hv! Ukiwa ndugu yako huwa wanajiachia kwako na si kwa swala la ngono hapana they feel proud of having you! Wanajiskia raha sana kuwa na ww na kujiona kuwa ni mtu wa karibu! Wapo hvyo huwaa sio swala la ngono
Hilo bado tatizo, mbona tuna ndugu ma handsome kuliko mababy tunao date nao lakini hata wazo la mapenzi juu yao huwa hamna kabisaKuna ndugu wengine wa kike ni warembo, chura hiyoo, dooh kwavile ni ndugu sasa ufanyeje, kidume unabakia kula kwa macho cariha
Haha haha. Kwa hiyo jamaa ni fisi.Hakuna anayekutega unajishtukia tu!
Wanajiachia wanafahamu labda ndugu hauna madhara,nawe umegeuka lifisi.
Hahaha! Kuna kisa kimetokea hapa mtaani nikijumlisha na swali lako napata majibu sasa.Wewe ni mpare?
Natanguliza samahani kama swali langu litakukwaza
Kiongozi mm ni mpare homozygous yaan baba, mama, bibi na babu wote ni wapareHahaha! Kuna kisa kimetokea hapa mtaani nikijumlisha na swali lako napata majibu sasa.