Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,232
- 2,858
Picha mtazipa maneno wenyewe!
Wa kombe la muungano Mufindi enzi zilee RTD ya Ezekieli Malongo, Sued Mwinyi na Juma NkamiaTimu ya Iringa hiyo. Namuona jamaa yangu Daudi Yassin akiwa ametulia.