Aisee lita 980,700?

Aisee lita 980,700?

Joined
Oct 21, 2017
Posts
66
Reaction score
59
Hayo ndio mafuta yaliongezwa ktk ndege kubwa iliotua Dar juzi kwa mujibu wa Maulidi Kitenge ktk uchambuzi wamagazeti.

Swali hiyo ndege ina uwezo wa kubeba lita ngapi ktk tenki lake?maana hayo tumeambiwa yakuongezea tu!

malori mawili ni niyakuongezea tu!au bwebwe?pia uzito wa mizigo na abiria na uzito wake yenyewe inapaa ikiwa na uzito gani?mmm hapa ndio mi najikubari nikilaza ktk baazi yambo,wenye kujua tusaidiane
 
Duh lile dege siku moja na mimi ntalikwea nije kuwapa mrejesho..
Limenitamanisha
 
hilo dege full tank linakula lita 240,000 sawa na semi 6 zenye kubeba lita 40,000.
Chanzo babu,hofu yangu uzito wa kuinuka ili ipae maana nikiangalia hizi lori za mafuta zinavyopata tabu kupandisha milima kwasababu mzigo mkubwa mmmh
 
mtoa thread kaandika eti 970,000 ila
ni lita 97,000.hizo lori zenu zinazopata tabu kupanda milima ni mbovu
 
Baba hizo ndiyo ndege....sio bambadia upo juu umeshikilia roho isinyofoke...
 
Inatumia wastani wa 10 mpaka 11 tonnes za fuel kwa saa ikiwa hewani ni sawa na gallon 1 la 4 litres za fuel kwa kila sekunde moja...kwa umbali Wa 7790 nautical miles itatumia litres za fuel 238,604...
 
mtoa thread kaandika eti 970,000 ila
ni lita 97,000.hizo lori zenu zinazopata tabu kupanda milima ni mbovu
Nmekuwa najenga barabara kuu ya mwanza to singida niliona magari mengi semi trailer zimebebeba tanki la mbele lita 40,000 na nyuma 60,000. sasa hiyo ni semi moja tu. labda cha kushangaza hapa ni kuona ndege moja ikijazwa lita 97,000. mbona hata hizo zinazotua hapa zinakula tani 10 za mafuta?
 
Nilikosea ktk uandisi sio 980,700 sahihi ni 98,700 maroli yanabeba tenk 1 elfu 40-50-60
 
Nmekuwa najenga barabara kuu ya mwanza to singida niliona magari mengi semi trailer zimebebeba tanki la mbele lita 40,000 na nyuma 60,000. sasa hiyo ni semi moja tu. labda cha kushangaza hapa ni kuona ndege moja ikijazwa lita 97,000. mbona hata hizo zinazotua hapa zinakula tani 10 za mafuta?
Tani 10 ni sawa na lita ngapi mkuu?au kg1 na lita 1 uzito nisawa?nakama sawa basi hizi zinazokuja kwetu itakuwa nilita 10,000 hapo haishangazi lakini hii nilita laki moja kasoro tena yakuongezea inamaana yalikuwepo mengine
 
Back
Top Bottom