Aisee lita 980,700?

Aisee lita 980,700?

Yangekua yanatua walau kwa ma4 tu kwa mwezi tungekua tunaingiza pesa nzuri ya mafuta through kodi; haiwezekani mhe akafanya fitina walau akina KLM, Emirate nk yakawa pia yanatua Dar!?
 
Nmekuwa najenga barabara kuu ya mwanza to singida niliona magari mengi semi trailer zimebebeba tanki la mbele lita 40,000 na nyuma 60,000. sasa hiyo ni semi moja tu. labda cha kushangaza hapa ni kuona ndege moja ikijazwa lita 97,000. mbona hata hizo zinazotua hapa zinakula tani 10 za mafuta?
hapa tatizo hujui semi trailer ni nin pia acha uongo hizo gari unasemea ni pulling kwenye ujenz wa hiyo road hazikuwahi beba lita ulizotaja Tz hakuna gari ya kubeba zaidi ya lita elf 42 kwa ekseli 7.halafu mafuta tani 10 ni sawa na lita kama elf 8-12.
 
Mbona hupati tabu kuamini Meli kuelea kwenye maji wakati senti mia moja inazama???
Chanzo babu,hofu yangu uzito wa kuinuka ili ipae maana nikiangalia hizi lori za mafuta zinavyopata tabu kupandisha milima kwasababu mzigo mkubwa mmmh
 
tusingelala miaka miwili,maana tbc ingeanzisha kipindi maalumu kwa ajili hilo dude,
kwa staili hii. Mkulu lazima apitishe sheria ya kila anayecomment awe known, maana ungejulikana ungepewa uprodyuza wa kipindi cha ndege maalumu hapa TBC
 
323,545 L / 85,471 USga
Na kila secunde moja linakula gallon moja ya kiingereza yaani lita nne za wese kwa swkunde moja. Likienda mwanza kutokea Dar linakula lita 15000 kwa hesabu za haraka haraka. Wanaotaka ndege kubwa kwa domestic use wajitafakari.
 
Max.takeoff weight for Airbus A380 is 575,000 kg.huu ni uzito ambao ndege hii inaweza kuamka nao kutoka ardhini inapokuwa inapaa...
 
ile mjue ni ndege sio chombo cha usafiri....
 
Max.takeoff weight for Airbus A380 is 575,000 kg.huu ni uzito ambao ndege hii inaweza kuamka nao kutoka ardhini inapokuwa inapaa...
sema tani 575 au uzito wa malori100 ya tani 5.7 kila moja au malori 50 ya tani 11.4 kila moja !!
 
Mnao piga kelele kila siku mnataka serikali inunue midege mikubwa mmeona shughuli yake!!? Hizo garama za mafuta tu tunafilisi nchi, acheni tu tuanzie na hizo hizo mnazoziita panga boy.
 
Nmekuwa najenga barabara kuu ya mwanza to singida niliona magari mengi semi trailer zimebebeba tanki la mbele lita 40,000 na nyuma 60,000. sasa hiyo ni semi moja tu. labda cha kushangaza hapa ni kuona ndege moja ikijazwa lita 97,000. mbona hata hizo zinazotua hapa zinakula tani 10 za mafuta?
Mkuu angalia takwimu.zako, , kwa sheria za tanroad, uzito.mkubwa kabisa unaoruhusiwa kubebwa na malori ni tani 56, na hii ni Gvm kwa dolly trailers, maarufu kama pulling, kwa semi trailer maximum gvm ni tani 50,mind you gvm ni uzito wa lori lote jumlisha mzigo., maana yake ni kuwa ili uweze kubeba tani nyingi basi uzito tupu wa lori unatakiwa uwe chini.hasa, kama ni semi ili uweze kubeba tani 30basi lory empty inatakiwa iwe na tani angalao 18, ie 18+30 = 48tons (gvm)

hiyo unayosema lita 40000mbele na lita 60000 nyuma, sio practical, ni stori tuu, za kitaa
 
Back
Top Bottom