Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

Mimi Gari lipo ila sasa 😅😅
Kama gari ni lako, wala sura haimatiii..!!! Sura personal kwenye gari personal haigombi..!!! Ishu ni pale gari ni la mkaka/mbaba ambaye anataka kuwaringishia wengine sura yako..!!! hapo sasa ndani NTITI, nje NTITI..!!
 
FB_IMG_1737963098901.jpg
 
Nashangaa road tumejaza wish, vanguard,ist ,forester na crowns, kumbe gari zipo aina nyingi namna hii?
Uchumi wa Mtanzania ndio kikwazo. Sio kwamba hawajui kuwa haya magari yapo
 
Aisee mkuu, sasa hapa ndo ukiitazama gari unayoendesha ya mwaka 2002 sijui toyota spacio ndo unakumbuka wakisema nchi zinazoendelea chini ya jangwa la sahara wanakusema wewe.
🤣🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Tatzo sio gari tatizo spea zipo bongo?, mafundi wapo? au UTALIPAKI...
 
Back
Top Bottom