realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 4,300
- 9,962
Sina 😅😅😜
Sina 😅😅😜
😀 😀 Basi kama ni hivyo, we twende zetu tupande yale matrekta ya kusombea miwa kule kilombero sugar..!!Sina 😅😅😜
Napanda ya TPC huku mbona huko mbali sana 😅😀 😀 Basi kama ni hivyo, we twende zetu tupande yale matrekta ya kusombea miwa kule kilombero sugar..!!
Basi tukutane pale MtibwaNapanda ya TPC huku mbona huko mbali sana 😅
Sura ya kukaa mbele tayari nayo bado gari tu
Urban cruiser nimeiwekea kibubu kabisa
Hivi hawa wanashiriki kweli ligi kuu au walishuka daraja 😊🤭😅Basi tukutane pale Mtibwa
Mimi Gari lipo ila sasa 😅😅Sura ya kukaa mbele tayari nayo bado gari tu
Tubadilishane😀😀😀Mimi Gari lipo ila sasa 😅😅
Mkuu Urus hiyo na imelipiwa kodi haitembelei namba za South🙌Kwa nchi yetu hii ya kodi za TRA?
Mimi ni mnunaji mashuhuri 😅😅😅😅Tubadilishane😀😀😀
Au we ndo wale wunawakuta wapo mbele wamekunja uso
🙏Amen!