Aisee, kumbe mapenzi ya kweli yapo hadi leo?

Aisee, kumbe mapenzi ya kweli yapo hadi leo?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Poleni na majukumu wakuu! niende 1kwa1 kwenye mada husika toka nikiwa mtoto nimekua mtu wa kuwaogopa Sana watoto wa kike hadi mwaka huu nimemaliza degree yangu sina ujasiri na watoto wa kike nikitaka nifloo nae na maongezi ni hadi anisogelee hapo nitaongea japo kwa less confidence.

Lakini hata hivyo, hali hii imenisaidia kumpata girlfriend ambaye naamini ana mapenzi ya kweli na mimi kwanini?

SABABU: Toka nimekua nae kama rafiki yangu wa kike (tumesoma darasa 1 chuo ki1),
nimeshuhudia mengi sana. 1 kati ya hayo ni hili, nimejaribu kua na mahusiano na mabinti kadhaa wakati yeye yupo (japo sio kwa kumaananisha) aise amewapindua wote yani kila binti alikua anamface 1kwa1 ili amwambie amwache mme wangu miaka mi3 yote hadi tumemaliza chuo na ni , zaidi ya mabinti 4. angekua hana mapenzi na mimi angenitua huu ndo ukweli.

Jingine licha ya kumfanyia yote hayo wiki ilopita amekataa barua ya posa kwao kwa ajili yangu image nina kabinti kengine then yeye anajua halafu kwao Kuna jamaa kajitokeza amuoe lakini amechomoa hni kali kwa ninavyowajua hawa viumbe sidhani kama angekubali kuendelea tena na mimi.

Nawakumbusha tena mapenzi ya kweli yapo haijalishi wote mmefanana level za elimu, uchumi au amekuzidi au umemzidi. wanawake wanapenda mbaya mbovu.

Nawasilisha karibuni kwa upembuzi wa kina zaidi. Asanteni
 
Kilicho nishangaza ni pamoja na kumaliza elimu ya juu/chuo, lakini bado unaandika kama class 10 1kwa1
Samahan mkuu nimesoma linguistic hiyo ni Aina flani ya uandidhi tu.. Kwenye topic fulani ya Stylistics haimzuii mtu kuongea au kuandika Aina fulani ya uandidhi au uongeaji ilimradi tu nisiharibu Maana ama content.
 
Hata mimi naamini mapenzi ya kweli yapo sema hawa wakina Mwajuma Ndalalong wanatufanya tuamini wanawake wote wamepotoka.
Ongera Mkuu kwa kupata mtoto aliyetulia.
Nashukuru Sana mkuu tupo pa1 Sana huyu binti natakiwa nimuoe aisee!
 
Mapenzi ya kweli siku zote yapo, na ni mpaka utimilifu wa dahari.

Changamoto iko kwenye upatikanaji wa watu wenye hayo mapenzi ya kweli.
Katika wanawake 100 unaweza mpata 1 au wawili chief aisee ni nadra Sana kupata hii type
 
Ulikua unaogopa wanawake,Ila ‘rafiki’ Yako akawa anawaambia wakuache wewe ni mume wake,,,,km ulikua less confident na women hao uliokuwa unawagombanisha walitoka wapi ?
Kuna mahali nimeandika kwamba baadhi ya mabinti including huyu binti nilienae akijisogeza Kwangu huwa najifanyaga na mimi naongeaga na Sina maneno meeengi.. Zangu point chache tu unaingia king
 
Back
Top Bottom