Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
366
Habari wakuu.!

Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia tukaitikia then akatuulza kwamba ""tunakifahamu kiwanda cha chemi cotex?"

Tukamuuliza kile cha maeneo ya makonde, akasema ndio, sasa kwa vile na sisi ni wenyeji wa maeneo hayo na tulikua tunapita njia hiyo hiyo tukasema tuende nae, tukakwea, tulipofika maeneo yale akasema kuna hela nalipa kwa mkurugenzi wa kiwanda ili anipelekee products zake k/koo akalipa then tukaamsha jamaa alikua anatupigisha story kama kawa anasema yeye anapenda sana vjana wachapa kazi.

Tulipofika maeneo ya mbuyuni tukamwambia "bro sisi tunaishi salasala kama vp tushushe hapa" akasema poa,sasa mda tunataka kushuka akachukua simu yangu akasema ngoja niwaandikie namba yangu ili siku nyingine tunaweza kufanya hata biashara tukasema poa halafu akatupa hela ya boda boda elfu 40 sasa jana akanipigia simu anasema njooni ofisin kwangu, nikamuuliza kuna nn brother, akasema natafta vijana wa kazi afu mje na vyeti vyenu, nikamwambia kwamba mimi ndo kwanza nimemaliza form six juzi sina cheti, akasema hata leaving njoo nayo.

Nikamshitua mshikaj wangu tukaenda, tulipofika tukaingia ofisin kwake tukaa, sasa cha kushangaza tulimkuta yupo kifua wazi na kibukuta akainuka akaja akaanza kufungua zipu yangu, nikamsukuma, akaniambia nitawapa laki tano kila mtu, nataka mnifire,! Shit, nikamwambia siku nyingine, tukawa tumeondoka nilipofka home nikampigia simu nikamwambia huo ushenzi siwezi kufanya.

Kukaa kidogo akatuma laki mbili na 20 tigo pesa, nikamwambia sihitaji pesa kwa ujinga huo. Sasa leo nimebadilisha namba kwaajili ya huyu jamaa. Sasa mimi bado najiuliza inakuaje mtu mpk anakuwa shoga jaman maana kwa jinsi jamaa alivyo he looks like a real man kumbe ni gay, aise nawasihi vijana wenzangu tusishawishike kufanya upuuzi kama huo kwasababu tu ya hela, tulizike na vidogo tulivyo navyo.!

Mtanisamehe kwa thread ndefu.
 
Mkuu pole sana kwa masahibu yaliyokukuta, vyema zaidi umeweza kuepuka ....Ushoga na vitendo vyovyote viovu ni hulka ya mtu either kwa kupendelea ama kutokana na mzingira aliyopitia yakamjenga yeye kuwa hivyo so usishangae kwa tajiri kuwa shoga au tabia ovu yoyote ile
Mshkuru Mungu kwa kukuepusha kwa hilo na Omba Hekima na Busara za kukabiliana na changamoto Maishani kwani kwa uwezo wetu wa kibinadam hatuwez
 
Habari wakuu.!
Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia tukaitikia then akatuulza kwamba ""tunakifahamu kiwanda cha chemi cotex?"" tukamuuliza kile cha maeneo ya makonde, akasema ndio, sasa kwa vile na sisi ni wenyeji wa maeneo hayo na tulikua tunapita njia hiyo hiyo tukasema tuende nae, tukakwea, tulipofika maeneo yale akasema kuna hela nalipa kwa mkurugenzi wa kiwanda ili anipelekee products zake k/koo akalipa then tukaamsha jamaa alikua anatupigisha story kama kawa anasema yeye anapenda sana vjana wachapa kazi, tulipofika maeneo ya mbuyuni tukamwambia "bro sisi tunaishi salasala kama vp tushushe hapa" akasema poa,sasa mda tunataka kushuka akachukua simu yangu akasema ngoja niwaandikie namba yangu ili siku nyingine tunaweza kufanya hata biashara tukasema poa halafu akatupa hela ya boda boda elfu 40 sasa jana akanipigia simu anasema njooni ofisin kwangu, nikamuuliza kuna nn brother, akasema natafta vijana wa kazi afu mje na vyeti vyenu, nikamwambia kwamba mimi ndo kwanza nimemaliza form six juzi sina cheti, akasema hata leaving njoo nayo, nikamshitua mshikaj wangu tukaenda, tulipofika tukaingia ofisin kwake tukaa, sasa cha kushangaza tulimkuta yupo kifua wazi na kibukuta akainuka akaja akaanza kufungua zipu yangu, nikamsukuma, akaniambia nitawapa laki tano kila mtu, nataka mnifire,! Shit, nikamwambia siku nyingine, tukawa tumeondoka nilipofka home nikampigia simu nikamwambia huo ushenzi siwezi kufanya,. Kukaa kidogo akatuma laki mbili na 20 tigo pesa, nikamwambia sihitaji pesa kwa ujinga huo. Sasa leo nimebadilisha namba kwaajili ya huyu jamaa. Sasa mimi bado najiuliza inakuaje mtu mpk anakuwa shoga jaman maana kwa jinsi jamaa alivyo he looks like a real man kumbe ni gay, aise nawasihi vijana wenzangu tusishawishike kufanya upuuzi kama huo kwasababu tu ya hela, tulizike na vidogo tulivyo navyo.!

Mtanisamehe kwa thread ndefu.

pole sana mkuu.wa aina hiyo wapo wengi sana mjini humu.bora umebadili line.akafie mbele huko,.mwenyewe yalishanikuta kwa jamaa mmoja hivi nilipokuwa arusha maeneo ya kimandolu,nilikuwa namheshim sana yule jamaa na alikuwa mlokole kupitiliza,yaani akipiga hata chafya anakemea utasikia pepo shindwa,akikohoa utasikia asante yesu,siku ya siku akaniita kwake,mara kaweka x mara akaanza kunitania eti kuangalia kidogo tu nimeshasimamisha.nilipobisha mara akadai nivue aone kama sijasimamisha,nilibaki namshangaa tu ckuwah kupata jipu.baada ya kubishana kama dk 5 hivi kwa hasira nikafungua zipu nikamuonyesha sijasimamisha,nilipokuwa nafunga zipu akanidaka mikono akaniita kwa jina "chakufia nini naomba nikalie japo kwa dk 3 tu",nikamwambia kumbe ndo huu ujinga unafanyaga na flani eeh?(kwa maana kuna swahiba wangu mmoja walikuwa marafiki wakubwa sana,yaani kila sehemu utawakuta wawili.).nilimwambia nitamkata vitasa.nilitumia nguvu kuufikia mlango na nilipokuwa naondoka akaniambia basi nisije nikamsimulia mtu nilichokiona.nilienda moja kwa moja kwa yule swahiba wangu nikamuuliza anajua kama swahiba wake yule analiwa?jamaa alionekana kustuka sana na kuanza kupepesa macho hakuamini kama nitamuuliza kitu kama kile.huo ndo ukawa mwisho wa uswahiba wangu na hao wawili.
 
haya mambo unaweza ona kama hadithi, mi kuna mmoja alikuwa frend wangu fb tangu 2008 ivi. siu moja tuna chati akanambia anaumwa nkampa pole, ebwana mara kasema chukua namba yangu unipigie usikie nilivyo na mafua. kumpigia jamaa anabana sauti mara ana nambia hana mpenzi sijakaa sawa si kunitumia mi picha ya hovyo dunia ina maajabu sana jamaa alinisumbua sana sijua wana matatizo gani hawa watu
 
duh kumbe haya mambo yapo mkuu.
 
duh sijui malezi au mazingira yanachangia halafu watoto wa kishua tu ndo wanakua na tabia hizi mtoto wa maisha ya kudanki kama yangu huwezi kuwa shoga
 
mkuu nimebadili namba, then simu yangu nikitoa line calls zote zinafutika,! Mkuu inaonekana umeridhika ni tabia ya jamaa?
hata niziporidhika nayo nitafanya nini???

kwanini unabeba mizigo ya watu???? haiwezekani mtu akuite umkute na boxer ofsini lazimaa alikujengea mazingira kwanza ndo maana akafika akavua kika kitu..

yawezekana ni kweli kilichojiri ila huyo mtu nadhani Hata yeye anahjtaji security kama ni kibosile hawezi vua ngua tena mbele ya jamA wawili WAKIMREOKODI???? au kumpiga picha????
yani ufungue mlango ukae kwenye kiti mtu yuko na boxer aanza kukuvua nguo wewe hHaha ila mkuu

hii movie hii nashindwa kupata muendelezo mzuri
HONGERA KWA KIMBIA MajRibu
 
Hawa madogo wanataka kutufanya hamnazo mchana kweupeeeee.....
 
Back
Top Bottom