Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...
Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dra analicuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..
Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
Kwani 'wadada wa mgahawani' wana shida gani mpaka usile?Nimejitahidi sana kushinda hili jaribu ila nitashindwa eventually..
Ichape mkuu , nikiwa kijana mboga kama hizo silazi damuBwashee sinaga chai mm, sema mnatia hasira tu nika ichape 🤣
Eeehh maan huo. Ni uchawi inawezekanaje siku ya kwanza mamsi inakutaka ukaichalaze,😁 au mnatak kusemaje?Ndagu zile za kichawi au? Sijaelewa mkuu
We jamaaaa usije kusema io pisi yakinyaturu au kirangi maan hazchelewagi izo 🤓Daah, inanitokea sana. Alaf ni mpya pale sijui hata imepata wapi ujasiri wa kunizoea bila idhini na kusema aliyo sema.
Tomber wewe bwana ata mfalme sulemani alishasema kuwa burudani ya mwanaume ni wanawakeKuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...
Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..
Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.