Originally Posted by
Pdidy
Mapdre wakikatoliki wameombwa kupewa kibali cha kuoa baad ya matatizo yaliotokea
huko
nyumba kuhusu watoto.wakiongea kwa nyakati
ttofauti wameomba uongozi wa kania katoliki kushirikiana na
papa pope waokoe maisha ya watu hawa kwa kuwaruhusu kuoa
Tatizo lililotokea si tamaa wale ni binadamu na unajua kuna wengine wameenda kwa sababu ya
shidasowabajua wakingia wanakula kuku na manyama ya bure na ukitoka zaidi maisha yanakuwa bomba sasa inafika wakati ana hamu kama mwanaume nini cha kufanya anaona wale vitoweo wa karibu ndio salale yao na hivyo kubeba dhambi wasizoziweza
Askofu Pengo tunaomba wazo hili mliwakilishe kwa papa kabla ya
mapdre awajavua nguo madhabahuni kukidhi hamu zao.......
Naomba tusiwalaumu sana waseja wale hakuna sehemu kwenye biblia imeandikwa mtumishi wa mungu lazima uwe mwenyewe ndio utumikie vyema huu ni uharamia wa somalia
auuna budi kupigwa vita..ndio maana kama mnajua vyema
msiimbazi pata habari zake uone masister wanavyolambwa na
wakuubwa mapadre zao huku wakiwapiga mikwara kutotoa mzigo nje
Polen wakatoliki kwa kashfa hizi tuko nanyi pamoja
.
Habari hii ni ya kipumbavu...i dont care anything about what mods may act on me!
PDIDDY hauko sawa upstairs, na kazi yako ni COPY AND PASTE, ndio maana inapokuja kuandika kitu kwa akili zako unaandika MAJI-TAKA YA KWENYE SEPTIC TANK.
HAYA mambo kuandika hapa unataka msaada gani...this is shiit!
Usibuni mambo yasiyo na nucleus...use a head, not your genitals!
TOA KWANZA BORITI NDANI YA JICHO LAKO KWANZA .....THEN URUKIE ZA WENGINE