Nipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji.
Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana.
Nawatabiria makubwa ingawa safari bado ni ndefu.
Kipindi cha michezo cha asubuhi kimekamata saaaaana
Efm wana miaka 50 ijayo ya angalau kuikaribia Clouds fm. Labda ungeniambia wanafanikiwa sana kwa Vibwagizo vyao vya hapa na pale ningekuelewa ila siyo kwa mambo mengine. Tena waambie wasijidanganye na wasipoteze muda wao kutaka kushindana na Clouds fm ila wajitahidi tu waweze kushindana na akina Times fm, Sibuka fm na City fm Radio.
EFM habari ya mjini labda kama haujawahi kwenda dar hivi karibuni wana kitu cha sporHQ,
Sasa wewe upo dar alafu unajitia haijui efm hao clouds sasa hivi hakuna kitu kabisa subiri hizo code mpya zianze kupiga masafa ndio utaelewaKwahiyo sijawahi kwenda Dar inasubira sasa hivi ninavyoandika hivi nipo Tumboni mwako au? Watu mliokuja Dar kwa Mbio za Mwenge mnajulikana tu.
Sasa wewe upo dar alafu unajitia haijui efm hao clouds sasa hivi hakuna kitu kabisa subiri hizo code mpya zianze kupiga masafa ndio utaelewa
Nilisikia Jembe Fm wanavuka Mwanza, maajabu wameishia kuhamia Jembe Risort.Hapo Mwanza wana promosheni ya kugawa mafuta ya bodaboda kwa wanaojibu maswali yao ,so ndo maana kila mtu masikio kodo,h halafu kipya kinyemi. Hao jembe fm walikuja kwa mkwala lakini wameshindwa kuvuka hata hapo Mwanza tu
hahahahaha mzee wa chuki ningeshangaa ungekosa kwenye huu uzi hahahahahaEfm wana miaka 50 ijayo ya angalau kuikaribia Clouds fm. Labda ungeniambia wanafanikiwa sana kwa Vibwagizo vyao vya hapa na pale ningekuelewa ila siyo kwa mambo mengine. Tena waambie wasijidanganye na wasipoteze muda wao kutaka kushindana na Clouds fm ila wajitahidi tu waweze kushindana na akina Times fm, Sibuka fm na City fm Radio.
Ww kiazi Mimi na mwanza wapi na wapi ,alafu usijitie mjanja kulilia miji ya watu huko dar ww mwenyew Ni wakuja tuKwahiyo kumbe ulidhayi na Mimi nipo huko Kijijini kwenu Mwanza ulipo?
hahahahaha mzee wa chuki ningeshangaa ungekosa kwenye huu uzi hahahahaha
Naona umebanwa kwikwi....
Ww kiazi Mimi na mwanza wapi na wapi ,alafu usijitie mjanja kulilia miji ya watu huko dar ww mwenyew Ni wakuja tu