Aisee hatakama black is beauty huyu ni too much!

Aisee hatakama black is beauty huyu ni too much!

jay john

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
429
Reaction score
252
1478890332144.jpg
 
Yani ni kama yule mutant wa kwemye movies za x men
 
hiyo tooo much tena zaidi ya much yaani mweusi hadi kwenye mikono dah
 
Huyo ni too much melanin, nothing else is wrong, she is beautiful.
Ila hapo kiganjani pananifanya nihisi hii ni photoshop
ni kweli photoshop kwa nini macho na yenyewe yasiwe meusi?
 
Awe Zeruzeru, Awe Mweusi tii, wote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu na wanastahiki kupendwa na kuheshimika kama wewe na mimi.
Ubinaadamu Kwanza.

Usishangae, huu ndio Ubora wa Uumbajia uliokamilika wa Mola wetu.

Sayansi inasema nini juu ya mwenye ngoZi nyeusi? Jinsi inavyokuwa nyeusi ndio inavyokuwa na afya.

Na wanaojichubua kutaka weupe, poleni!
Black is Beautiful.
 
Back
Top Bottom