Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,111
- 2,521
Naingia home toka job, binti akajua ni mimi naye akatoka ndani kwake na kuzungukazunguka huku ananisalimia nami nikamjibu kama kawa
Ile nafunga tu geti na kugeuka niingie kwangu akapandisha kanga usawa wa mapaja meupe yanayowakawaka, akaniaga "usiku mwemaaaa", nikamjibu fresh tu bado akageuka kunicheki kama nitamresponse khaaaa