mgodi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,780
- 1,845
Naona watakuwa walimaanisha jijini DSM maana iyo 3g yenyewe coverage ni mijini tuu wilayani tatizo!
Ivi mkongo umeshaanza kutumika maana tuliambiwa mengi kabla haujaja!
Mkuu, pamoja sana! umenikumbusha hiyo project ya fiber optic, tulielezwa faida nyingi sana lakini mpaka sasa imekuwa kimya na gharama zinazidi kuongezeka.