'Airtel Yatosha': Yatosha kweli....

'Airtel Yatosha': Yatosha kweli....

Airtel sasa wanapaswa kubuni njia ya kuwasaidia watumiaji wa Ipads kuweza kununua bundle za internet kwa mtindo wa kuhamisha kutoka simu nyingine kama voda na mtindo wake wa Internet kwa rafiki yako.
Maana kwa sasa mwenye kutumia Airtel lazima atoe sim card from ipad na kuweka kwenye simu ndio aweze kunuua bundle,ambao ni usumbufu mkubwa sana na wakati mwingine unaleta uharibifu.
 
Nilijiunga jana, ila mtandao spidi kama ya kunyonga baiskeli! Au ni tatizo la jana tu?

Sent using wireless by wire

Speed ya AIRTEL ni kama mwendo wa KINYONGA!!!!!! Ni nzuri kwa kupiga simu na sms
 
Back
Top Bottom