'Airtel Yatosha': Yatosha kweli....

'Airtel Yatosha': Yatosha kweli....

Wala si ubunifu wa airtel. Haya ni matokea ya TCRA kushusha interconnection rates kwa karibu asilimia 70. Sasa hivi kila kampuni ya simu ina offer ya namna hii; tiko wana kabang na voda wa cheka nae. Hongera TCRA
 
hawa ni wezi bado wanahangaika baada ya kupoteza wateja wa mb 400,hongereni watanzania kwa msimamo,binafsi bado nasubiri wote wamalize kutoa offer zao ndio nichague
 
it is true man
 
Airtel Weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisa... Yatosha ni bomu jingine wala msijaribu .....nimejaribu kujiunga inasumbua kama nini.. SYSTEM BUSY MARA OH INVALID(EMPTY) RESPONSE... UPUUUZI MTUPU

Customer care hawapokei simu.. Nimepiga mpaka basii.. Nimesubirii dakik 19 hawapokei..
 
Mbona nimejiunga kiurahisi tu, kwa sh.999(tsh.1000) nimepewa Dakika 40, SMS bila kikomo, na 400MB,kwa 24hr
 
wote wezi tu, eti unapewa offer halafu unalimitiwa kwenye time, sasa hio nui offer au ni mateso....sijiungi na hao watu bora nisawasiliane na mtu
 
hawa ni wezi bado wanahangaika baada ya kupoteza wateja wa mb 400,hongereni watanzania kwa msimamo,binafsi bado nasubiri wote wamalize kutoa offer zao ndio nichague

Nilihamia tigo baada ya kutoa mb 400 zao, but since jana nimerudi tena kwa muhindi, buku 2 inatosha sana kwa wiki dk 70, sms 700 na mb zaidi ya 160. Nikiona haitoshi naongeza buku nachukua cha buku 3. Tofauti na buku 9 ya tigo.
 
Airtel Weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisa... Yatosha ni bomu jingine wala msijaribu .....nimejaribu kujiunga inasumbua kama nini.. SYSTEM BUSY MARA OH INVALID(EMPTY) RESPONSE... UPUUUZI MTUPU

Customer care hawapokei simu.. Nimepiga mpaka basii.. Nimesubirii dakik 19 hawapokei..
Mi nimeipenda cheka nao zaidi.
 
Mbona nimejiunga na mimepata dakika 25 lakini nimepiga simu wamekula hela iliyoko hawajatumia dakika 25 walizo nipa.
 
Voda ndiyo mpango mzima 20mnst kwenda mtandao yote na mb 60 kwa 500
 
Nilijiunga jana, ila mtandao spidi kama ya kunyonga baiskeli! Au ni tatizo la jana tu?

Sent using wireless by wire
 
Back
Top Bottom