AIRTEL YATOSHA ni nomaaaa.....!!!!

mkuu piga *147*500# unapata mb 60,dk 20 sms 150 kwenda mitandao yote...kwa hapa voda nimewakubali.!!
 
cha wiki cha airlel ndo kiboko 2000 wiki nzima sms 700 dk 70 mb za kutosha

mkuu fafanua mb za kutosha ngapi kwa wiki.? labda watanishawishi niifute vumbi laini yao.!!
 

Mi natumia voda na nipo maeneo ya mabibo hostel.huku hata network haikamati vizuri yani ni kigugumizi mara ije mara inaondoka....drop outs kibao kwa hiyo hata sifaidi
 
Walishatuibia sana kwa kweli sasa hivi laini zAngu za voda na tigo ni za kupokea simu tuu
 
Tatizo lipo ktk spidi, mb wanatoa nzuri airtel but spidi iko chini. Warekebishe spidi.
 
Tatizo lipo ktk spidi, mb wanatoa nzuri airtel but spidi iko chini. Warekebishe spidi.

jana nimeweka cha day cha airtel na spidi ilikuwa nzuri, nimeangalia video youtube na wala zilikuwa hazigomi, spidi ya net huwa naipima kwa kuangalia youtube.
 
hii ya airtel ndo ya bei rahisi kuliko mitandao yote
 

Tigo huduma ya kabang si mchezo. 9,000 kwa wiki unakua na dkk 150 tigi to tigo na 150 other networks. Imenipunguzia gharama
 
5999 Tsh unapata 275min(mtandao wowote) unlimited sms, na 3GB kwa wiki!! Hii kweli Yatosha...

Kwenye red Hapo sawa nimeshawishika kutafuta laini yangu ya airtel, Hakuna mtandao mwimgine unaokupatia 3gb kwa kiasi hicho cha fedha.
Tayari, 3gb Per week, 12GB per month, kwa tsh 12,000/- (toa tsh 4/- chenji)
 
nimeshanunua line ya airtel haya niambieni na dial vp kupata hizo bundle?
 
hio bei inajumuisha v.a.t. ?? AU ni kabla ya vat
 
Tigo huduma ya kabang si mchezo. 9,000 kwa wiki unakua na dkk 150 tigi to tigo na 150 other networks. Imenipunguzia gharama

AIRTEL tsh 5,999 unapata 275min kupiga mitandao yote + 3gb , sio kama tigo ni 150/150min na only 1gb tu ,
 
Tuambie kwanza umelamba ngapi kutoka kwa hao waliokutuma, kabla hatujalihamishia tangazo lako jukwaa la matangazo tukutoze kitu kidigo?
Airtel have bit the rest....Airtel yatosha imekaa vizuri ukiiangalia Kila upande
 
nemekubaliana na wewe,leo nimefufua lain Yangu ya Airtel nikaenda kuangalia vifurushi vya wiki...... sina hamu tena voda.!!

HAHAHAH, hapa nimejiunga na cha tsh 5999 full kufaidi, na natumia simu yenye wireles kukonekt kwenye laptop yangu, ambapo inanipa urahisi kupiga simu, kwahiyo nikijisikia kutwanga na twanga tu sio mpaka nitoe laini kwenye modem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…