AIRTEL YATOSHA ni nomaaaa.....!!!!

AIRTEL YATOSHA ni nomaaaa.....!!!!

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
3,324
Reaction score
1,116
Hapana mimi sio mfanyakazi wa airtel , ni kwamba nimefurahishwa tu na vifurushi vyao vya AIRTEL YATOSHA.....!!

TSH 349 -10MIN(kupiga mitandao yote)+ 100SMS+25MB

TSH 499-DAY-25MIN(kupiga mitandao yote)+200SMS+75MB

TSH 749 -DAY-30 MIN (kupiga mitandao yote)+ 250 MB !


TSH 1,999-WEEK -70MIN(kupiga mitandao yote)+ 700SMS+175MB

TSH 2,999-WEEK- 175MIN(kupiga mitandao yote)+ 1400SMS+500MB

TSH 4,499-WEEK-210 MIN (kupiga mitandao yote)+(unlimited sms) 1.5 GB !

TSH 5999-WEEK-275 MIN+(kupiga mitandao yote)+(unlimited sms)+3GB !

bofya *149*99#

Nimeitoa laini yangu uvunguni sasa nimerudi AIRTEL kwa muda......
 
Tuambie kwanza umelamba ngapi kutoka kwa hao waliokutuma, kabla hatujalihamishia tangazo lako jukwaa la matangazo tukutoze kitu kidigo?
 
Jamani hata Voda nao wako vizuri kwa vifurushi vyao. Tsh. 350/= (dk. 10) na Tsh. 500/= (dk. 20). pia wanatoa zawadi, mathalani mimi nimepewa Tsh. 20,000/= kama salio, kutumia kwa siku 3 kupiga voda-voda. Wanatupa unafuu wa kuwasiliana kwa kweli! Wale wanaotumia Zantel na Tigo hebu mtujuze wana nini kizuri?
 
usikariri sababu wewe umezoea kununuliwa,

Tuambie kwanza umelamba ngapi kutoka kwa hao waliokutuma, kabla hatujalihamishia tangazo lako jukwaa la matangazo tukutoze kitu kidigo?
 
Mbona hizo ofa zipo kawaida tu! Sidhani kama hawa mobile operators wanatofautiana sana. Mimi huwa nawekeza sh. 500 vodacom napata ma.MB na ma.SMS kibao hadi siyamalizi kabla siku haijaexpire. Hizo sh. 749 naona kama vile airtel wanakuibia!
 
Inaonekana kuna mabadiliko fulani kwenye hii industry. Vifurushi vya flat tariff nimeanza kuvisikia Voda. Ni vizuri sana, hasa kwa sisi watumiaji. Ila nina uhakika Tigo wanakuja kufunika na kali zaidi ya zote. Hata hivyo inabidi ajipange. Kwa hivi vifurushi vya flat tariff, mwenye wide coverage ndiyo atakuwa na nguvu zaidi.
 
voda wanachokera offers zao hazikai masaa24, na zinaisha saa 6 usiku! Hata airtel tsh349-unapata dk 10 kupiga mitandao yote+25mbs.

ukicompare,

kifurushi cha tigo cha KABANG-TSH 9,000- week-150min(tigo-tigo)+150min(mitandao mingine)+1gb mb

kifurushi cha airtel cha AIRTEL YATOSHA cha week , TSH 4,999-week-210min(mitandao yote)+1.5gb mb

Hapo airtel wapo nafuu kwa bei na wingi wa mbs na dakika za kupiga mitandao yote!

Hata kifurushi cha day cha airtel TSH 749-30MIN+250MBS , Hakuna mtandao wenye kifurushi cha day unachoweza pata mbs zote hizo!!!


Jamani hata Voda nao wako vizuri kwa vifurushi vyao. Tsh. 350/= (dk. 10) na Tsh. 500/= (dk. 20). pia wanatoa zawadi, mathalani mimi nimepewa Tsh. 20,000/= kama salio, kutumia kwa siku 3 kupiga voda-voda. Wanatupa unafuu wa kuwasiliana kwa kweli! Wale wanaotumia Zantel na Tigo hebu mtujuze wana nini kizuri?
 
cha wiki cha airlel ndo kiboko 2000 wiki nzima sms 700 dk 70 mb za kutosha
 
mbona hizo ofa zipo kawaida tu! Sidhani kama hawa mobile operators wanatofautiana sana. Mimi huwa nawekeza sh. 500 vodacom napata ma.mb na ma.sms kibao hadi siyamalizi kabla siku haijaexpire. Hizo sh. 749 naona kama vile airtel wanakuibia!

tsh 749 unapata 30min+unlimited sms+ 250mbs utasemaje wananiibia? Halafu kifurushi kinakaa masaa24! Tofauti na voda saa 6 usiku kifurushi kinakata!

Na voda hawana kifurushi cha 500, wanacho cha tsh 450-day-unapata 15min+100sms+50mbs !
Na wao airtel wanacho kama hicho cha day tsh 499 -day-25 min+200sms+75mb

haya sasa embu linganisha mwenyewe nani anaibiwa.
 
TZS 500 per 20minni sawa na 5000 per 200min mule mule haijilishi upo mtandao gani, Tigo nao wanayo hii flat tarriff, angalau sasa tumeenza kufaidi mawasiliano nafuu ya simu baada ya kuibiwa sana
 
kwa kweli airtel is ze bestest,wanamuangalia mwenye kpato cha kawaida sana,walianza na ile mbs zao 400 za mwezi mzima sasa wamekuja kivingne bomba zaidi,hata speed yao ni reasonable
 
Back
Top Bottom