Airtel wapandisha gharama

tatizo la msingi lipo kwenye sera, watunga sera wetu ndio board members wa haya makampuni makubwa ya simu, wakati mwingine wanamiliki shares/hisa. Ni vigumu sana kwa wananchi kupata utetezi. Tunahitaji sharia ya kuwabana viongozi/watunga sera kuwa wamiliki wa haya makampuni
 
Wakati wa Nyerere tukitaka simu za nje tunakwenda "extelecom" ukisema u book kwa simu ya nyumbani unaweza kukaa mwezi hujapata simu, na bei ya chini ilikuwa 3000 kwa dakika 3, fikiria 3,000 ya mwaka 1980 ilikuwaje.

Sasa hivi hizi bei na hata zinapopanda na kushuka kwa ushindani, kwa sisi wa zamani, bado tunaona ni neema.
 

nyie ndo mafisadi hata usiseme
 
Jaman kumbuken nao wapo kibiashara zaid
Japo maisha magumu. Tuvumilie tu

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 

Is there any coordination upstairs?
 

wanataka kufidia hasara waliyopata kwenye promosheni ya 'baba lao'
 

Hawana weekly packages tena!?? Wametuuwa sisi wa kila week tulizoea 1999
 
weekly ipo sema ya 2999 ndiyo kwishinee, substituted by 3499 na gharama juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…