technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Leo Ni wiki Airtel mtandao haupatikani vzr kwenye internet
Semeni Kama mnatuhujumu tuvunje line zenu
Semeni Kama mnatuhujumu tuvunje line zenu
Airtel imekuwa ya ovyo Sana kuliko hata halotelWote wamenunuliwa na wanamtandao
ulivyosema kuwa ngoja niwaite airtel, ikabidi niwachungulie..majibu niliyopata niNgoja niwaite airtel
Halotel ndo ushubwada kabisaa.Hujakutana na voda.. Tigo bado hajaguswa
Haswaaa! Unaweza hisi cm imeharibika.Halotel simu hazitoki, ukipigwa upande wa pili haukusikii unaweza dhani simu imezingua microphone.