Airtel wameniibia leo

Airtel wameniibia leo

Ambao mnakatwa pesa zenu bila kujua huu mwongozo utawasaidia
1. Tembelea ofisi za kampuni husika uombe matumizi ya akaunti yako.Unaweza kuomba ya tarehe husika au mwezi pia inategemea tukio limetokea nini.Hakikisha umeenda na kitambulisho chako halisi.
2. Omba maelezo ya kina kuhusu makato hayo. Elezea ishu kwa ufupi na facts muhimu za msingi,usiporidhika omba kuonana na meneja wa duka hiyo ni haki yako mteja.
3. Iwapo kama meneja wa duka kashindwa kabisa kukusaidia shida yako chukua ile karatasi ya mchanganuo(Print statement) nenda nayo TCRA karipoti kule kuna dawati ambalo linadili na malalamiko kama haya
4. Kama upo mbali na ofisi za TCRA unaweza pia kuripoti kwenye page zao mfano fb,twitter na instagram.
Ukiendelea kulalamika jamii forum hutopata solution dawa ni kuibuka kulekule
 
Back
Top Bottom