Kwa watumiaji wa Halotel: Fahamu jinsi Ya kuzuia salio kuu lisitumike pale unapoishiwa bando

Program Manager

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
2,506
3,426
Sifanyi kazi kwenye mtandao wa halotel lakini nimeguswa na hili baada ya juzi kuweka vocha Ya buku tano kwenye line ya mtandao fulani na nikasahau kujiunga. Nilikuwa napakua movie na kucheki video fulani YouTube baadaye kucheki salio kuu nakuta 826

Hivyo nimeona tushirikishane jambo hili muhimu:
Cha kufanya piga *148*66#
chagua 10 salio & language
Chagua 4 matumizi nje Ya kifurushi
Chagua 3 Ondoa matumizi nje Ya kifurushi
Hapo utakuwa umefanikiwa kuzuia salio nje Ya kifurushi kuliwa pale unapoishiwa bando
Enjoy


_20200715_092718.JPG
_20200715_092651.JPG
_20200715_092630.JPG
_20200715_092600.JPG
 
mitandao ya simu ni wajanja sana, katika hali ya kawaida hakuna mtu ambae yupo willing kutumia salio la kawaida baada ya bando kuisha sababu kusingekua na haja ya kununua bando,,, hii ilitakiwa iwekwe by default na sio mteja achague.
 
Back
Top Bottom