Airtel,tigo zantel na voda

Airtel,tigo zantel na voda

Ni ya muda mrefu ndio maana kwa upande wangu naona nimekuja na majibu sahihi:
mbona ndugu zako wote wanatumia tigo?wewe huna tofauti na yule anaye oshea gari bia.nia yako ni kuwazalilisha watanzania wacha Mungu wanaotumia tigo.ninachojua kuchagua mtandao inategemeana na matumizi.% kubwa ya wenye simu wana line ya tigo kama siyo kwenye simu basi ipo mfukoni.fanya utafiti tena.
 
Utafiti wa kina umeonyesha kuwa,watu wanao tumia line ya

VODA
-Ni watu wenye staha,heshima na vyeo.

AIRTEL
-Ni wafanya biashara ,wafanyakazi wa makampuni makubwa, viongozi na matajiri wenye pesa za kutosha.

ZANTEL
-Ni watu wa visiwani,mashekhe,mayakhe,mamwinyi na maustaadhi.

TIGO
-Ni wanafunzi,mahousegirl,mashamba boy,madalali, wasio na kazi maalumu,na watu wa mizinga na wengi wao afya zao ni migogoro.

Je wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu?

Sasa na sisi wa SASATEL, TTCL Mobile unatuweka wapi.

Ila hiyo ya TIGO imenifurahisha sana. Kweli huo ndio mtandao unaotakiwa Tanzania.
 
Sasa na sisi wa SASATEL, TTCL Mobile unatuweka wapi.

Ila hiyo ya TIGO imenifurahisha sana. Kweli huo ndio mtandao unaotakiwa Tanzania.
TTCL nayo tutaifanyia utafiti wa kina,kujuwa ukweli,ila kuna wadau wapo humu wanaweza kutujuza zaidi.
 
mimi niko TIGO na wala sina mpango wa kuhama hata useme nini.
Utahamaje wakati wewe ni mwanafunzi uliyemaliza shule mwaka juzi,ukapata ushamba boy na baada ya kumwibia mwajili wako vilita vya maziwa ukaacha na ukaanza udalali, baada ya hapo hukuwa na kazi maalumu ukaanza mizinga huku afya yako ikiongeza migogoro kila kukicha..... teh....teh................... JOKING
 
Duh umeniacha hoi unajua matani ndg!!!!
Utahamaje wakati wewe ni mwanafunzi uliyemaliza shule mwaka juzi,ukapata ushamba boy na baada ya kumwibia mwajili wako vilita vya maziwa ukaacha na ukaanza udalali, baada ya hapo hukuwa na kazi maalumu ukaanza mizinga huku afya yako ikiongeza migogoro kila kukicha..... teh....teh................... JOKING
 
Hapo kwenye Zantel umekosea mimi ninazo laini zote na hamna yenye gharama nafuu kama Zantel unaweka elfu 5 unaongezewa muda wa elfu 5 hata ukiweka buku unaongezewa muda kama huo na hamna eti upige Zantel tu unapiga mitandao yote kwa nyongeza yako HAMNA KAMA ZANTEL JARIBU UTANIAMBIA.
 
Mi nilikuwa napenda sana tiGO lakini baada ya kugundua matatizo yake nimeona niende AIRTEL
 
Its better ungetaja case study yako imebase in which areas...... na njia ulyotumia kukusanya data.
 
Utahamaje wakati wewe ni mwanafunzi uliyemaliza shule mwaka juzi,ukapata ushamba boy na baada ya kumwibia mwajili wako vilita vya maziwa ukaacha na ukaanza udalali, baada ya hapo hukuwa na kazi maalumu ukaanza mizinga huku afya yako ikiongeza migogoro kila kukicha..... teh....teh................... JOKING

wewe mwenyewe uko TIGO unabisha? kweli, mmhh unakubali kimoyomoyo!!
 
Back
Top Bottom