sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
Utafiti wa kina umeonyesha kuwa,watu wanao tumia line ya
VODA
-Ni watu wenye staha,heshima na vyeo.
AIRTEL
-Ni wafanya biashara ,wafanyakazi wa makampuni makubwa, viongozi na matajiri wenye pesa za kutosha.
ZANTEL
-Ni watu wa visiwani,mashekhe,mayakhe,mamwinyi na maustaadhi.
TIGO
-Ni wanafunzi,mahousegirl,mashamba boy,madalali, wasio na kazi maalumu,na watu wa mizinga na wengi wao afya zao ni migogoro.
Je wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu?