Yoel eliud
Member
- Nov 11, 2017
- 28
- 12
Kumbe tupo wengi.hapa nilipo naingiza vocha haaiingi
Yani me hadi wamenizuia kuingiza vocha kisa nimejaribu mara nyingihapa nilipo naingiza vocha haaiingi
mm nimepewa saa moja mbele vp ukoo?Yani me hadi wamenizuia kuingiza vocha kisa nimejaribu mara nyingi
mm nimepewa saa moja mbele vp ukoo?Yani me hadi wamenizuia kuingiza vocha kisa nimejaribu mara nyingi
Hata mimi ndo nasubili sa iishe niendeleemm nimepewa saa moja mbele vp ukoo?
Mie sasa hivi nimeangalia salio nakuta kumbe vocha imeingia kimyakimya ila nilivyokuwa naweka inakataa, yani majanga.mm nimepewa saa moja mbele vp ukoo?
Yani umenifumbua macho bana kumbe iliingia me bila kujua baada ya kusema ww ndo nimeangalia nikaikuta, aisee ni shidaMie sasa hivi nimeangalia salio nakuta kumbe vocha imeingia kimyakimya ila nilivyokuwa naweka inakataa, yani majanga.
Bora umenisaidia maana me nilikuwa nimemua kumuacha tuWote wawili hamna tofauti, nini maana ya unazinga, kwetu ni kukaanga au kuunga mboga.
ukoo wa nani tena? Wa Vodacom?mm nimepewa saa moja mbele vp ukoo?
😆😆doh mbwa kala mbwa hiyo