amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
Jumapili nimejiunga na kifurushi cha yatosha cha wiki namaliza kujiunga mda huo huo mb zikawa 0 nikawapa taarifa na mkakiri tatizo hilo lipo mkasema system yenu ya data inazingua ila mtarudisha mpaka mda huu hakuna kitu wiki inakatika hela imeenda no Internet.
Nkilala nkishtuka saa 10 usiku ndo naaanza pata notifications means internet mda huo inakuja mimi ni jini usiku niugeuze mchana??
Wadau ndo hayo majanga ya Airtel mwenzenu hata kujiunga tena inakataa na hata ukitumia vocha ya kawaida Internet sipati.
Wiki nzima kweli tatizo halijapatiwa ufumbuzi???
Mie mvumilivu ntaendelea kuvumilia mwisho wangu jumapili tu jumatatu nitapata ufumbuzi mbadala.