Airtel sasa ni wezi?

Ha ha haaaa... apointment ya Demu au???

Mimi yangu zantel nimehama siku nyingi hiyo mitandoo ya wezi

Hata mimi wamenikata shiling 1000 yangu bila sababu.NIMEWEKA THEN NIKAPIGA SIMU NIKALIWA SH 200.ASUBUHI KUMEKUCHA NAKUTA hakuna pesa!HAWA NI WEZI.

eti heee... mlifurahia basi eti? hamia kwetu..... na bado mpaka mkome kuringa. tunarudi kulekule kwenye kaulimbiu
celtel making life bitter. nasikia sasa mpo na a wonderful thief

Mbona faida inakwenda kwao haiji kwetu huku? Waongo hao wameuseti huo mtandao wao wafyeke fedha zetu, lakini wajue ndiyo wanapoteza wateja hivyo.

Mimi wamenilamba 10,000 jana na leo ila wamenitaka radhi baada ya kugundua kuwa tumewashtukia, wamenirudishia 5000

Mitandao hii ni ya wizi.

Voda sasa ivi ukimpunguzia mtu airtime, unaliwa sh 18.

naona kwa hal inavyoendelea hata plz cal m wataanza kucharge salio. Express your self, hamia.

jiunge na mtandao wa tigo, acha kulalamika. sh.500 tu unapiga simu unaongea kama umeweka elfu 5 vile

Hapo ndipo siku zote ninapowashangaa WaTZ. Kwanini mnakuwa watu wa kulalamika bila kuchukua hatua.

Nawashauru mnacho chombo cha kuthibiti hawa telecom Operators ambao ni TCRA. Kwanini msiwajuze ili wachukue hatua.

Uki gougle utapata taarifa nyingi sana za huyu regulator.

Tumeni malalamiko yenu TCRA kwa maila hii

dg@tcra.go,tz

Wezi wakubwa hao! hata kwenye msg ndo balaha! hawana maana kabisa

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…