<font size="4">Hawa Airtel sasa wananipa mashaka, nimeweka tsh 2000 nimeongea sek kama 20 imekata na hela imeisha, <br />
nikaweka tsh 1000 nimeongea sekunde chache imebaki tsh 71. Hiyo sh 71 haitaki kwenda kokote hata <br />
kwenye Airtel yenyewe eti huna salio la kutosha! Jamani inakuwaje kwa mtandao mkubwa kama huu?</font><br />
<font size="4">Huduma kwa wateja toka saa 12 wanahudumia wateja wengine, nimekaa hewani nusu saa nasubiri nimechoka. Sasa ndo kabisaaa kila nikipiga jaribu baadaye huwezi kuunganishwa wanaongea na wateja wengine!</font>