Airtel, nimewasamehe

Airtel, nimewasamehe

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,755
Reaction score
7,270
nadhani watumiaji wa Airtel wanajua kuwa jana mtandao wa Airtel ulikuwa unasumbua katika kuingiza vocha, tatizo liliiisha hiyo hiyo jana lakini late sana watu wameshaathirika na tatizo. leo nimeingiza vocha nimepata nyongeza ya asilimia 25%. nimepata gross ya tsh.3000. nimesamehe Airtel, "mmejua kula na kipofu"
 
Umechagua fungu jema, la kusamehe
 
unajua kuna mtu anakukosea na anaonesha juhudi za kuomba msamaha huyo unamsamehe, hapa airtel ni km wameniomba msamaha.
 
nadhani watumiaji wa Airtel wanajua kuwa jana mtandao wa Airtel ulikuwa unasumbua katika kuingiza vocha, tatizo liliiisha hiyo hiyo jana lakini late sana watu wameshaathirika na tatizo. leo nimeingiza vocha nimepata nyongeza ya asilimia 25%. nimepata gross ya tsh.3000. nimesamehe Airtel, "mmejua kula na kipofu"

mi toka juzi hili tatizo lilikuwepo sio jana hasara na usumbufu tulioupata siamini ni sawa na hicho ki 25% chao wanachotoa tena kwa mteja aliyeongeza vocha?wakati wa tatizo na huduma kwa wateja hazipatikani eti watoa huduma wanaudumia wateja wengine!cha msingi tokeni muwaombe radhi wateja wenu
 
Nami wameniongezea lakini naomba ilo tatizo lisijirudie tena kwani tunapoteza vitu vingi kuliko hata iyo asilimia 25 mlioniongezea.
 
Back
Top Bottom