Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
piga *154*44# au *148*88# chagua kifururushi cha siku..... au unawe kutuma neno 'day' kwenda namba 15444mkuu ebu fanya maujanja namna ya kujiunga ni hii huduma.......
piga *154*44# au *148*88# chagua kifururushi cha siku..... au unawe kutuma neno 'day' kwenda namba 15444mkuu ebu fanya maujanja namna ya kujiunga ni hii huduma.......
wanaolalamika speed mi siwaelewi mi mbona kwangu iko fasta...halafu mi naona ndio mtandao ulio cheap ...i.e kwa tsh 600/= napata 500mbs raha gani hii..........
kwel mkuu???!!!,unajiungaje hapa?
Wewe ndiye uliyeko huko ulikokutaja. Ndio maana hujui hata spidi ya net ni nini. Sizungumzii hicho unachoweza ku surf kutumia kiji Nokia tochi au ki Samsung cha inchi mbili. Nazungumzia serious web usageWe upo kimanzichana kwa babu unategemea speed iwe kama walio mjini?
For Promotional Use only
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
Tatizo speed ya net
500MB kwa 600Tsh.?? Unajiungaji na hiyo mzee?
piga *154*44#
- Kimsingi speed ya internet inategemeana na eneo ulilopo.
- Yaweza kuwa hapo kwako ni very slow lakini kwa mwingine anakwambia hakuna mtandao mwengine wenye kasi kama huu.
Wewe ndiye uliyeko huko ulikokutaja. Ndio maana hujui hata spidi ya net ni nini. Sizungumzii hicho unachoweza ku surf kutumia kiji Nokia tochi au ki Samsung cha inchi mbili. Nazungumzia serious web usage