Not to me
Mimi naona wako sahihi,sababu ya mkataba waliosainishana na Marehemu,wao sio wajinga kuendelea kurusha ina maana kuna sheria inawalinda na kwny sheria hakuna mila,wala machungu,ina maana kw kuwa sharo kafa na airtel ife??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sio sawa hata kidogo..... hata kama kisheria wako sawa ila kimaadili haipendezi......
Wapi my lawyer Ruttashobolwa, sheria inasemaje????
Lazima waliomba ridhaa ya familia ya marehem, halafu ni njia iliyobaki ya kumuenzi sharo, kuonesha uwezo wake wakati wa uhai wake. Mi natamani siku nikifa, kama kuna mambo nimewafanyia watanzania, basi yatangazwe na wengine waige u-machachari wangu. Good job shalo...tutakukumbuka kwa hilo shalo men, ingawa umekufa, lakini mambozi yako yatabaki kuwa kumbukumbu mhimu sana kwa vizazi vijavyo
Kisheria,mkataba alioingia marehemu hukoma pale tu mhusika anapofariki. Airtel wamefanya visivyo.Si vyema kurudia jambo hilo kwakuwa naweza kwenda kununua kesi.Mbona Startimes walishaacha kumwonesha Kanumba?
Mbona Nyerere mnaendelea kumuonyesha kila siku?? Waambieni wasitishe hotuba zake basi
Naunga mkono hoja yako. Airtel hawakuidai familia ya marehemu mkwanja aliokula Sharo, so kimsingi ni haki yao kurusha matangazo ili ku-compensate gharama husikaMimi naona wako sahihi,sababu ya mkataba waliosainishana na Marehemu,wao sio wajinga kuendelea kurusha ina maana kuna sheria inawalinda na kwny sheria hakuna mila,wala machungu,ina maana kw kuwa sharo kafa na airtel ife??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kisheria,mkataba alioingia marehemu hukoma pale tu mhusika anapofariki. Airtel wamefanya visivyo.Si vyema kurudia jambo hilo kwakuwa naweza kwenda kununua kesi.Mbona Startimes walishaacha kumwonesha Kanumba?
charminglady"Your honourable" Unaweza kufafanua???
maadili yepi jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..... mbona kuna mambo ya msingi kimaadilili hatuyasemi, ushoga, uchangudoa, ufisadi, vimini kwenye nyumba za ibada n.k . AIRtel wanaweza malizia mkataba, waspofanya hivyo watakuwa wameuvunja na watastahili kulipaSio sawa hata kidogo..... hata kama kisheria wako sawa ila kimaadili haipendezi......
Wapi my lawyer Ruttashobolwa, sheria inasemaje????
ni haki. mbona nyerere anadunda dailyNilikuwa naangalia taarifa ya habari, mara wakaonesha lile tangazo la AIRTEL MONEY aliloshiriki Marehemu Sharo Milionea na Mzee Majuto.
Je ni haki kuendelea kulionesha lile tangazo??????
legally and morally there are very wrong. Havent you read contract Act about "termination of contract" that of the factor for contract termination is death of either of the party in the contract.they are legally right but morally wrong!
legally and morally there are very wrong. Havent you read contract Act about "termination of contract" that of the factor for contract termination is death of either of the party in the contract.
legally and morally there are very wrong. Havent you read contract Act about "termination of contract" that of the factor for contract termination is death of either of the party in the contract
Airtel wako kimkataba zaidi, hata hivyo tangazo bado lina mvuto na ndiyo maana wanasema vigezo na masharti kuzingatiwa. Kwa hiyo mpaka muda wa mkataba uishe.