Airtel msidanganye watanzania TUTAWASHTAKI

Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=????
Half a Loaf is Better than No Bread..
Pia issue ya kuwashitaki am sure ukiangalia vigezo na masharti yanayozingatiwa utakuwa kwamba you have no case.
 
Hizo ni lugha tu za kibiashara kuvutia wateja,ndio maana mwisho wa matangazo yao utasikia vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na kuwadai mabilioni kwa kuwahadaa wananchi..competitors hamlioni hili? Na tume ya fair competition inasemaje kwa matangazo kama haya

ha ha fair competition hawa jamaaairtel wameshashtakiwa sana na competitors wao pale fair competition kuhusu lile tangazo alilolifanya kibonde maana waliwalenga direct eti sio kama wale wengine
hao ndo Bharti Airtel bwana
 
Tunaunda vyombo visivyo na meno.....
 
Back
Top Bottom