Airtel msidanganye watanzania TUTAWASHTAKI

Tanzania kuibiwa tumeibiwa sana......hakuna wakweli kila mtu muongo na anafanya yake
 
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na kuwadai mabilioni kwa kuwahadaa wananchi..competitors hamlioni hili? Na tume ya fair competition inasemaje kwa matangazo kama haya

vipi vigezo na masharti unazingatia kabla ya kulaumu?
 
wanajua walala hoi wengi hawatumii zaidi ya laki moja na wao ndio wana target hiyo market zaidi, watu wengi wenye pesa wanatumia m pesa
 
ishu kumbe ni kutuma ama kuchukua kwa mafungu. mfano kama una laki mbili tuma ama chukua elfu hamsini hamsini mpaka zifike lak2 nk
lazima watakuwa wameweka restriction kwa akaunti ukishareach kiwango kwa siku isitume tena labda utumie line nyingine
 
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na kuwadai mabilioni kwa kuwahadaa wananchi..competitors hamlioni hili? Na tume ya fair competition inasemaje kwa matangazo kama haya
Utawashtaki kwa kosa gani? Hebu sikiliza tangazo lao kwa makini sana halafu utaelewa. matangazo kama haya ni ya kawaida duniani leo wewe unapaswa u-some kati ya mstari ili uelewa vizuri. Ukikurupuka SHAURI YAKO
 
nimeyasikiliza sana hayana umakini huo...
 
nimeyasikiliza sana hayana umakini huo...
Bro 'vigezo na masharti kuzingatiwa' inwezekana jamaa hawa katika utafiti wao wameona kuwa Tsh 1-99,000 gharama wanazo chaji zinaweza kuhimiliwa na wale wanaotumia mtandao wao kuanzia Tshs 100,000 na kuendelea hvi wameamua kutangaza kihivyo
 
Wamezidi utapeli nadhani ni haki wangesema ukituma 1 mpaka 99,000 ni bure baada ya hapo unakatwa ..
Wanauzi sana
 
Back
Top Bottom