Airtel modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel modem

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Paul Kijoka, Jul 1, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu, natumia modem ya airtel na nimejiunga na data wiki kifungu cha 15000/. La kushangaza net iko very slow. Naomba msaada namna ya kurecover. Yaani natakiwa nisubiri kwa zaidi ya dakika kumi ili page ifunguke. Nanyi ndo hivyo huko bajameni!!!

  Nifanyeje ndg zangu.
   
Loading...