Airtel Modem Model 1550

B H

Senior Member
Mar 28, 2011
104
9
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuchakachua modem hiyo tajwa.
Asante.
 
Hizo modem zinapatikana wapi? maana naitafuta sana sizioni.....Kama unaona inakuzigua please naomba nikubadilishie nikupe ya voda iliyochakachuliwa................Hiyo modem nilikuwa naitumia kwenye sms application maana ndiyo pekee configuration zake kwenye kannel nilikuwa nazijua...Please kama utaona inafaa fanya kuni-pm then mimi nikupe iliyochakachuliwa....Kuhusu kuchakachua its possible as long as ina IMEI
 
Boss,nina shida ya kuchakachua modem
Tafadhali naomba unielekeze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom