Airtel modem its fake third class and customer services are disgusting -ni utapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel modem its fake third class and customer services are disgusting -ni utapeli

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Macos, Apr 15, 2012.

 1. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  MAJUZI NIMENUNUA AIRTEL MODEM NIKALIPA NA BUNDLE YA MWEZI MMOJA CHA KUSHANGAZA SIJAWEZA KUKU CONNECT MPAKA LEO NI KAMA SIKU SABA-7 SASA NILIKWENDA KWA WAKALA NILIPONUNUA NAYE AMEJARIBU AMESHINDWA , ANASEMA MTANDAO MBAYA !!! NIKASHANGAA MTANDAO WEEK NZIMA ? NIMEJARIBU KUWAPIGIA CUSTOMER SERVICE HAWAPOKEI SIMU KABISAAA..YAANI NI THIRD CLASS KABISA I CALL THEM MORE THAN 50 TIMES NO BODY CARES...

  NIKAAMUA KUWANDIKIA HELP DESL YAO , NIKATUMA EMAIL KWENDA helpdesk@tz.airtel.com ..CHA KUSHANGAZA EMAIL YANGU HAIJAWEZA KUWAFIKA ...SABABU NI KWAMBA HII EMAIL NI FAKE WANATUDANGANYA SISI CUSTOMERS KWAMBA KUNA CUSTOMER SERVICES TU LAKINI HAKUNA KITU KAMA HICHO..KWA UFUPI HII EMAIL NI DANGANYA TOTO JAPO IPO KATIKA MTANDAO WAO NA VIPEPERUSHI VYAO..HAKUNA ANAE SOMA EMAILS ZA WATEJA KUTAKA MSAADA..MAILBOX YAO IMEJAA NA INALETA MESSAGE " The recipient's mailbox is full and can't accept messages now"
  HII NI KWASABABU HELPDESK HAWASOMI HIZO EMAIL WALA KUJALI WATEJA WAO WANASEMA NINI.

  PIA EMAIL ZIFUATAZO AMBAZO ZINAHUSIANA NA "CUSTOMER SERVICES" PIA ZIMEJAA NA HUWEZI KUWAPATA AIRTEL KWANI NOBODY ANASOMA EMAIL ZA WATEJA....MPAKA MAILBOX ZAO NINAJAA..
  Delivery has failed to these recipients or distribution lists:
  Anthony.Gaudence@tz.airtel.com
  The recipient's mailbox is full and can't accept messages now. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please try resending this message later, or contact the recipient directly.
  Catherine.Kavishe@tz.airtel.com
  The recipient's mailbox is full and can't accept messages now. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please try resending this message later, or contact the recipient directly.
  Yohana.Mayeye@tz.airtel.com
  The recipient's mailbox is full and can't accept messages now. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please try resending this message later, or contact the recipient directly.
  Henrick.Botto@tz.airtel.com
  The recipient's mailbox is full and can't accept messages now. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please try resending this message later, or contact the recipient directly.
  Remedy.CustomerSupport@tz.airtel.com
  The recipient's mailbox is full and can't accept messages now. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please try resending this message later, or contact the recipient directly.
  Jombo.Mkono@tz.airtel.com
  The recipient's mailbox is full and can't accept messages now. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please try resending this message later, or contact the recipient directly.
  [HR][/HR]​
  UKWELI AIRTEL WAMETUMIA FEDHA NYINGI KUTANGAZA HUDUMA ZAO AMBAZO NI SAWA NA ZIRO..KILA MAHALA KUNA AIRTEL FREE SLOGAN, KUMBE NI NJIA YA KUTURUBUNI KUNUNUA HUDUMA AMBAZO HAZIPATIKANI , HUU NDIO UKWELI KWANI HAYA MATANGAZO YAO YAMEKUA NA USHAWISHI MKUBWA LAKINI IN REALITY NAWEZA KUSEMA NI UTAPELI NA WIZI WA MCHANA KWEUPE.

  MODEM YAO NYEKUNDU IMEKAA KAMA PAMBO NA NILIKWENDA KURUDISHA KWA WAKALA WAO AMEKATAA KUREJESHA FEDHA YANGU LABDA SASA NIENDE KUPELEKA MALALAMIKO KWA FAIR TRADE COMMISSION AU TCRA.

  LAKINI HAKIMU MZURI NI WATUMIAJI KUGOMEA MODEM ZAO KWANI HATA HUKO RUSHWA IMEJAA SIDHANI KAMA HAKI ITAPATIKANA
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah! Nilikuwa na mpango na ile promo yao ya kununua moderm na kupata free internet ya six month bure but nimeghaili kwanza...
   
 3. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mini sidhani kama huu ugonjwa ni kwa kampuni moja. Shida hapa iko kwa mamlaka simamizi. Mkataba wa huduma ni makaratasi tu na maelezo mengi lkn usimamizi haupo. Niliwahi kutuma fedha kwa tiGO Pesa msg ikaingia nusu kule kwa recepient. Wakala akasema hawezi kumpa fedha bila reference which is logical. Nikaamua kupiga simu customer care, loh! Simu inaita dkk 20 mpk inakata. Nilipiga siku 5 wapi, hakuna aliyepokea. Baada ya wiki ile fedha ikarudishwa kwenye akaunti yangu.

  Mimi nalaumu tume za udhibiti wa viwango vya huduma. Haya matatizo si mapya, na naamini hata Mkurugenzi wa TCRA anaweza akawa ameshawahi kukumbwa na kadhia kama yako, lkn kwa kufahamu hulka zetu najua atakachokuwa amefanya ni kununua na nyingine.
   
 4. samito

  samito JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TCRA nao wamelala fofofo, ni kwel airtel wanaboa sana, mimi moderm yao nimeweka kabatini, ni useless kabisa, wamekula pesa yangu bure na ukiwatafuta hewani huwapati, its not fair kabisa
   
 5. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Ndugu.nilinunua modem yao ya 60000 ile ya mwanzo,nikanunua 400mb bundle ya mwezi,ikadumu kwa siku 20 hivi na matumizi yalikuwa kila siku,baada ya hiyo bundle kuisha nikanunua nyingine kama hiyo,hata masaa matano haikufikisha,nilivyowapigia wakanirudishia mb zangu,nilivyonunua tena ikawa siku haifiki mb 400 zimeisha,nilivyojaribu kuwapigia hawapatikani,wanakwambia kuongea na huduma kwa wateja bonyeza 0 ukibonyeza simu inakata,ikabidi niiweke modem kwenye sanduku,haki anani nilitaka kuitupa kwa jinsi hawa jamaa wanavyotufisidi,haina maana kuwa nayo.nikaanza kwenda internet cafe,Uchumi ukawa hauniruhusu,nikaa bila kutumia internet kwa almost nusu mwaka,then nikanunua simu ya nokia n73,nilivyojaribu kununua bando ya 400mb ikadumu siku ishirini huku zimebaki mb100,sim yangu ikawa ina hitifatu kidogo upande wa software,wkt naishughurikia nikazijaribu zile mb100 zilizobaki kwenye ile modem,aisee ndani ya 30minutes zikawa zimeisha,nikawaandikia msg lkn sikujibiwa.Nilicho amua nikutotumia modem bali nitatumia simu kwa sababu over 90% ya vitu ninavyohitaji kutoka internet navipata,na pia tunaenda sawa 400mb naweza kuzitumia mwezi mzima tena 2500/= tu,so hawa jamaa angalau kwa simu wako fair,i dont know why?lakini kwa modem ni wezi.you can opt for an original phone with good internet capability and enough internal memory,kama unavyoona am writting you from my phone,if modem is so important to you,then maybe we have to wait for things to get better but as for nows we are at the worst situation,if not then opt for that alternative.cheers
   
 6. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hakuna ukweli kuhusu free internet. Unapewa kiasi kile unachotumia
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Amia airtel.
   
 8. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kiukweli airtel inasumbua sana...kila wkati inadisconnect yenyewe tu...mara haipatikani, ukiipata tooo slow..yaani inabore sana...zantel ilikua nzuri ila nao wameamua kupunguza gb kutoka 2 mpaka moja kwa week sasa huo si wizi!! kwa ufupi internet nchi hii ni shida sana
   
 9. C

  CHIEF MGALULA JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 782
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  hata mm nilipata hili tatizo kama hili na wakala hakunisiadia zaidi ya maneno kibao,nikaenda airtel pale jmall builiding,wakanibadilishia line na sasa nakula mzigo kama kawa!!ni nzuri msikate tamaa kwani kipimo cha uwezo wa mtu ni pale anapopata matatizo,so mki-prove failure huo ndo UWEZO wenu

  hAMIA AIRTEL!!!!!!!!!!
   
 10. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  hakuna ukweli nijaribu kila kitu bado kidude chao kimebaki pambo ni utapeli na hawasaidii wateja nabaki na msimamo ni wezi
  leo nimejaribu kuwapigia tena nikabahatika kumpata dada anaitwa Elizabeth akaniambia eti mbona imeunganishwa tayari tuma neno internet kwenda 232 itakuwa tayari.
  nimefanya hivyo na kila handset nitayo tumia inasema handset yako hai support automatic configuration !!!!
  nimetumia simu zote za jamaa zangu kuanzia nokia kawaida mpaka smartphone lakini jawabu ni hio hio simu hazi support

  bado nawataka airtel wawe wakweli na technology yao , kumhangaisha mteja mara fanya hivi mara vile ni ubabaishaaji
   
 11. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamii Forum wanafanyanao biashara bila matatizo na ki ukweli wanapata sana promo kupitia JF cos member wa JF ni wengi, najua JF wana interest na hawa Airtel lakini naamini hasa wana interest na sisi member wao kwahiyo nao wana nafasi ya kutasaidia katika haya malalamiko/usumbufu tunaoupata kutoka airtel
   
 12. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  hamia airtel, bas kubwa
   
 13. E

  Elai Senior Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi nilinunua modem ile ya mwanzo ya sh 60,000/-. Nilikutana na tatizo la kugoma kuwa "detected". Nikarudisha kwa wakala akahangaika nayo siku 2, lakini tatizo liliendelea. Nilijaribu kutumia PC tofauti tofauti na laini tofauti tofauti kutoka kwa rafiki zangu,tatizo liliendelea. Nikaandika barua pepe china kwa watengenezaji kuwaeleza tatizo, wakashauri nifunge kwa muda firewall na antivirus wakati wa kufanya installation,lakini haikusaidia. Nikawaandikia help desk ya airtel, wakasema wamegundua laini ninayotumia haina hela, nikawaambia nimejaribu laini nyingi zenye vifurushi na zinatumika kwa modem nyingine, wakasema niwatumie namba za simu ninayotumia kwa mawasiliano watanipigia kunishauri zaidi. Nikagundua ni ubabaishaji. Sasa ipo kabatini na haijafanya kazi toka niliponunua.
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  I hate airtel
   
 15. G-son

  G-son Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du mmenifumbua macho kweli. Nilitaka kuchukua hiyo ya promotion, mmmh hapa napiga breki. Asanteni wadau kwa kuokoa vi madafu vyangu. Pia naungana na wengine kuwa chombo husika cha kusimamia kipo likizo isiyo na ukomo. Poor Tz

  Je Zantel wakuu! Maana nasikia wanasika kiasi. Nawweza ingia huko? Msaada pls.
   
 16. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tcra tafadhali ingilieni suala hili la airtel. Tunanunua bundle ya wiki lakini hakuna huduma wiki nzima. Huu ni wizi na mimi nina mpango wa kufungua rb ya wizi wa kuaminiwa kwa airtel ninaomba tcra muwe mashaidi kwa upande wangu kuhusu teknohama.
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Wakuu mmejaribu kuangalia settings kwenye computer zenu....?
  nilikumbana na tatizo kama hili....nikaja kugundua kuwa settings hazijakaa sawa.....
  kuhusu customer care.....Airtel wajipange....ni vilaza tu wako pale......
   
 18. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  most of these companies have customer scare desk, instead of care, very disgusting.
   
 19. U

  Uswegge New Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Poleni sana kwa adha mliyopata.
  Hizo moderm ni nzuri na hazina shida kwa ujumla wake japo
  Moja moja zinaweza zikawa defect kutoka kwa manufacture
  Hilo huwezi zuia. Lakini ili moderm ifanye kazi pia, ni lazima simcard iwe na access ya internet.
  Na hiyo access lazima iwe activated.kwa hiyo ni mambo mengi yanaweza kuchangia. Hebu tuwasiliane kwa
  address hii nelwike.prophet@gmail.com ili niweze kukusaidia.
   
 20. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mmezidi kulalamika wapenda vya bure ...kazi mmnayo mwaka huu
   
Loading...