Airtel modem huawei e173

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
988
Habari zenyu wanajamvi,
Wazee tafadhari kama kuna mtu ameshafanikiwa kui-unlock hii modem tafadhari anisaidie ni wiki ya 3 tatu nime-google mpaka nimechoka hakuna mafanikio.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
hii modem iko very slow.............. ajabu sanaa...free internet ya miezi sita wizi mtupuu.. daaah..
 
hii modem iko very slow.............. ajabu sanaa...free internet ya miezi sita wizi mtupuu.. daaah..
Hapana Mkuu, haipo slow hata kidogo, hiyo ni pc yako tu na siyo modem, free internet ipo usiku kuanzia saa sita
 
Habari zenyu wanajamvi,
Wazee tafadhari kama kuna mtu ameshafanikiwa kui-unlock hii modem tafadhari anisaidie ni wiki ya 3 tatu nime-google mpaka nimechoka hakuna mafanikio.

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Hi unaweza kwa urahisi kufungua e173 yako huawei Modem kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e173 yako huawei kwa urahisi.
 
Huawei E173 inaweza kuwa unlocked kupitia dc unlocker ila sio free
Yangu nime unlock tangu mwaka jana na inapiga mzigo safi kabisa....kwa maelezo zaidi fungua web ya dc unlocker na udownload app yao
Ukiweka modem yako watakuambia unahitaji credit kiasi gani....ukiwalipa kwa paypal unaingiza codes mambo swaaaafi kabisa.
 
Hi unaweza kwa urahisi kufungua e173 yako huawei Modem kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e173 yako huawei kwa urahisi.

Mbona umemquote mwenyewe hiyo post ya juu...hauoni hiyo link au?
 
sasa mbona umem-quote Maxence Melo pale kwenye post #10 ?

Nafikiri hayo ni makosa ya JF wenyewe mm nimemquote aliyetoa link maana kwenye hii post huyo MAX haku-comment na natumia JF App na huwa siingie jukwaa zaidi ya la matangazo,Jf doc, na Jf tech ambako Max sijawai ona hata commeny yake sasa sijui hii BUG imetoka wap
 
Proved ni Bug mm nimemquote mtoa Link pale nyuma na sio Max maana hakuchangia kwenye hii thread

100.jpg
 
Back
Top Bottom