Airtel mnazingua

Airtel mnazingua

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
5,664
Reaction score
8,221
Airtel net iko slow sana. Kwa nini msihamie 4G. Hata hii 3G ni kama haina kitu kabisa,ni kama 1G tu hivi.

Muda mwingine unashindwa hata kufanya biashara kwa sababu ya hili dude.

Juzi kati hapo mteja amekuja dukani anahitaji spare ambayo haijui mfanano wake.

Mimi mbio mbio nii-Google,weee aibu,inaseach tu mamaeee...!mteja nimemtuliza mpaka akaniachia hilo tusi hapo juu. Wiki hii ndio kabisaa.

Na huu uzi nimeurudia kuuandika na kuu-send mara ya pili. Ya kwanza ime-seach karibia dakika 3,ile niikate nianze upya,si ukapita nayo.
 
Si ni bora Airtel Bando lao huwa linakaa kaa kidogo.. Unawajua Voda wewe?
Voda niliwakimbia sababu ya vifurush vyao ni kuiba. Huku airtel najiunga la siku 3 kwa 1000. Shida sasa ni kwenye network. Unakuta kitu una-seach muda mrefu sana.
 
sio lazima utumie airtel , kuna mitandao mingi sana Tz. hiyo 1000 ungejiunga halotel kwa wiki nzima na speed ni nzuri tu.
Shida nu moja mkuu. Unakuta uko na voda,uko na airtel for long time. Utakuwa unaongeza tu simu ili upate kitu fulani kweli? Hakuna kitu sikipendi kama kuwa na masimu meeeengi. Ushamba huo siuwezi. Ukienda mfano Dubai,kila mtandao utakaogusa ni 4G unaamua wewe tu
 
Airtel net iko slow sana. Kwa nini msihamie 4G. Hata hii 3G ni kama haina kitu kabisa,ni kama 1G tu hivi.

Muda mwingine unashindwa hata kufanya biashara kwa sababu ya hili dude.

Juzi kati hapo mteja amekuja dukani anahitaji spare ambayo haijui mfanano wake.

Mimi mbio mbio nii-Google,weee aibu,inaseach tu mamaeee...!mteja nimemtuliza mpaka akaniachia hilo tusi hapo juu. Wiki hii ndio kabisaa.

Na huu uzi nimeurudia kuuandika na kuu-send mara ya pili. Ya kwanza ime-seach karibia dakika 3,ile niikate nianze upya,si ukapita nayo.

Mbona airtel wanayo 4G
Kwangu mie hakuna mtandao bora kama airtel...speed yake ni nzuri sana kwa matumizi yangu
 
Basi itakua inategemea na sehemu . Pia cm yako inaweza kuchangia mfano kujaa kwa cm , aina ya cm. Kwangu mimi Airtel haizingui tena naangalia youtube kama tv no interruptions za internet .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom