Airtel mnazingua

Airtel mnazingua

Mkuuu itakua unatumia bontel alafu unailalamikia eatel bureee. Mbona wako vizuri sana. Mm kwangu eatel n mtandao bomba sana[emoji123]
 
Basi itakua inategemea na sehemu . Pia cm yako inaweza kuchangia mfano kujaa kwa cm , aina ya cm. Kwangu mimi Airtel haizingui tena naangalia youtube kama tv no interruptions za internet .
Uko maeneo gani?
 
Mbona airtel wanayo 4G
Kwangu mie hakuna mtandao bora kama airtel...speed yake ni nzuri sana kwa matumizi yangu
4G ipo dar tu. Kama vipi tugawieni na huku mkoa
 
Basi itakua inategemea na sehemu . Pia cm yako inaweza kuchangia mfano kujaa kwa cm , aina ya cm. Kwangu mimi Airtel haizingui tena naangalia youtube kama tv no interruptions za internet .
Basi ni sehemu na sehemu. Kuhusu simu,sina wasiwasi nayo,nina simu yenye akili ya kutosha
 
.
Kucheck kama laini yako ni 4G unapiga *149*99# kisha chagua Smatika yatosha intanet, kisha chagua boresha laini yako
Duuh...! Asante sana mkuu
 
Wanayo 4G,ila kwa Tz vodacom pekee internet yao ndiyo super japo tunawakimbia kutafuta unafuu wa bundles sehemu zingine,ila for sure Vodacom kazi nikwako
Huwa najaribu kutumia airtel mida ya mchana maana ikifika usiku penda usipenda utaenda voda na mabando yao ya ghali...airtel ni nafuu lakini itazungusha kiduara hapo mpaka utaitoa tu.
 
Mkuuu itakua unatumia bontel alafu unailalamikia eatel bureee. Mbona wako vizuri sana. Mm kwangu eatel n mtandao bomba sana[emoji123]
Uko wapi na eatel yako?
 
Huwa najaribu kutumia airtel mida ya mchana maana ikifika usiku penda usipenda utaenda voda na mabando yao ya ghali...airtel ni nafuu lakini itazungusha kiduara hapo mpaka utaitoa tu.
Yeah vodacom inakera ila haiepukiki kama una kazi ya kutumia internet, Nina 4G ya airtel ila hamna kitu
 
Mbona airtel wanayo 4G
Kwangu mie hakuna mtandao bora kama airtel...speed yake ni nzuri sana kwa matumizi yangu
Halafu joanah hebu nitumie hiyo namba yako ya airtel yenye 4G niringanishe na yangu. (Inbox)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom