Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,661
- 8,219
Siku hizi airtel net iko slow sana mpaka mnaboa. Kwa nini msiingie kwenye 4G?
Hata hii 3G tunayoitumia nayo mmeishusha ni kama 1G huko. Yaani huwa imenitia aibu mara nyingi mtu anakuja dukani, anataka spare fulani asiyoifahamu vizuri muundo wake.
Mimi mbio mbio ni-Google. Weeee. Itaseach hiyo kama sipo duniani. Imekuwa to much siku za hivi karibuni.