Airtel mnakera!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel mnakera!!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwiyuzi, Aug 8, 2012.

 1. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Mimi nakerwa mno na mtandao wa airtel kutuma message ya hongera kwa wateja na kwamba wamezawadiwa muda wa maongezi kumbe ni UONGO!

  Kuna siku walinitumia sms kuwa wamenizawadia elfu kumi na tano 15,000 kumbe ni uongo tu!

  Kwanini wanatuma sms za uongo sasa?


  Sijui na ninyi wanajamvi wenzangu mnapatwa na adha hii?

  Mi ninakerwa sana na tabia hii ya Airtel!
   
 2. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Pole mkuu.Si hilo tu bali pia Internet yao haipatikani usiku. Ni kero kweli!
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  juzi kulikua na network problem unatuma sms alafu kwenye simu yako inaonyesha msg delivered kumbe hazifiki...zimefanya mpaka watu wamegombana maana mtu anatuma sms anaona kimya mwenzake ajibu anafikiri kachuniwa kumbe ni airtel na hata hawajaomba msamaha kwa wateja... aibu hawana...
   
 4. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Asante, yaani ni kero kweli kweli...nilikuwa na modem ya airtel nikaidiss kwa sababu hizohizo!
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wala msikonde,subirini kidogo mtandao wa bishtel utakuwa hewani!
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Halafu net yao ipo slow kinoma, wanasema eti 3G yenye kasi!!! ...... wananikera k*m* hawa.
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  HAMA airtel, wewe na jamaa yako
   
Loading...