Airtel mnajali kweli wateja wenu?

Airtel mnajali kweli wateja wenu?

BABA E's

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
354
Reaction score
136
Yaani mnajiongezea gharama za bundle mtadhani mnatumia wenyewe hizo simu!!, kuweni na aibu na mtuheshimu wateja wenu!!, sababu bila sisi hiyo Airtel itabaki minara tu!!.

Hawezekani bei mnazidisha mara mbili kimya kimya bila kushirikisha wateja wenu!! Mafisadi nyie!
 
umenifurahisha sana! kuna rafk angu mmoja alikuwa akinikera sana kwa kunambia ooh! airtel ndio dil..namwambia hizo ni offer tu zitaisha hataki kunisadiki. but now hatak hat tujadili kuhusu hilo.. hzo ni offer na zikiisha inakuwa mwendo mdundo.
 
Kitu ninachopendea Airtel ni moja tu, huduma zao za internet ni uhakika, hata kama tunalipia ni uhakika speed ipo tofauti na wale wezi niliowakimbia mwaka jana(Vodacom), tatizo la Airtel ninalolionna ni moja tu, customer care call service.

Customer care service, hivi inakuwaje huduma hii niilipie, eti nakatwa Tsh 60 ili kuongea na mtu wa huduma kwa wateja, but worse ni kwamba fedha hii inakatwa kabla ya kupewa huduma. Mara zote zaidi ya mara nane(8) nilizowahi kupiga kuongea na mtoa huduma wa wateja "VIP" sikuweza kufanikiwa, hili si sawa. Tafadhali liangalieni upya!
 
eatel wangese wakubwa. Hii bundle niliyonunua ikiisha nahamia zantel
 
Nilikua mteja mwaminifu lakini nafikiria tofauti.
 
umenifurahisha sana! kuna rafk angu mmoja alikuwa akinikera sana kwa kunambia ooh! airtel ndio dil..namwambia hizo ni offer tu zitaisha hataki kunisadiki. but now hatak hat tujadili kuhusu hilo.. hzo ni offer na zikiisha inakuwa mwendo mdundo.

Sio yeye rafiki yako hata mimi niliwaona bora zaidi kuliko mitandao mingine ila sasa nimeshindwa pakukimbilia maana wote ni majizi
 
Back
Top Bottom